Gee,
hahaaaa ni sample size ya kutosha kutoka na hilo hitimisho... LOL!! (hata jana usiku nilienda kununua viepe vumbi nikamuona mmoja kajizungushia msuli)
wewe je Gee?
daah!!! wayatoage basi bheee!!!
Acha kumtania Mungu,
Yanasababishwa na minyoo na dawa za kuzuia mabusha na matende zinatolewa na watu wa NIMR kila mwaka... Dar nadhani sasa hivi ni mwaka wa 6 tangu waanze kutoa. Wewe hujanywa???
Teh! Teh! Teh! Mkamateni huyo mumpeleke
hahahaha........au ntamlaani aoteshwe busha kwenye uso wake.......lolmferenge kabisa huyo na sime yako, au mlenge na manati ya King'asti....
yule ni mamushkar bana...mitindo yake na yangu tofauti kabisa...dont luz your kul
Mie hadi muda huu sijawahi kumuona. Sipati picha.
Nimeona wawili watatu wenye matende miguuni though. Yanatisha
Wambie waje tuwapeleke kwa wahusika...Ni surgical operation rahisi saaana!!
Au wambie waende kwenye ofisi za mpango wa Taifa wa kuzuia matende na Mabusah pale Upanga....Dr Mwele Malecela ndiye aliyekuwa mratibu wake!!
La sivyo wambie wafike ofisi za NIMR pale karibu na hospitali ya kansa, Ocean Road!!
Hata wakimwacha kwa sasa..mwisho wa siku ataenda mwenyewe!!
Sijanywa hiyo dawa. Inatolewa wapi?
Unajua DC kuna sehemu nyengine ujinga unawasumbua na elimu haijawafikia, hao ndio nnaowaombea :]
acha wafikie hatua ya kwenda wenyewe bana
saa hiz wenzio kwao hiyo si prestige, sasa watanielewa nikajifanye mshauri nasaha?
Mzee mwenzangu unakunywa kila mwaka ndo maana umekonda namna hiyo? Au hiyo picha kwenye avatar yako uliipiga kabla hujaanza dozi?Hebu wasiliana na Madaktari pale Upanga kwenye ofisi zao...Kama uko Dar, Pwani, Tanga + Lindi..Hizi dawa zimekuwa zikitolewa kila mwaka. Ni dawa mbili za minyoo zinazotolewa kwa pamoja...Albendazole (hii hata pharmacy zipo) na ivermectin...
Ngoja niwaulize watatoa tena lini!!
Mie nakunywa kila mwaka!
Hebu wasiliana na Madaktari pale Upanga kwenye ofisi zao...Kama uko Dar, Pwani, Tanga + Lindi..Hizi dawa zimekuwa zikitolewa kila mwaka. Ni dawa mbili za minyoo zinazotolewa kwa pamoja...Albendazole (hii hata pharmacy zipo) na ivermectin...
Ngoja niwaulize watatoa tena lini!!
Mie nakunywa kila mwaka!
kwa nini usimkamate ukamleta hapa jamvini tukamfanyia operesheni? riwa atakuwa senior surgeon na mie ntakua nampasia mikasi. bht atampa dawa ya usingizi.
Mzee mwenzangu unakunywa kila mwaka ndo maana umekonda namna hiyo? Au hiyo picha kwenye avatar yako uliipiga kabla hujaanza dozi?
HICHO ni kitu na boxiDuh! Son of Alaska hiyo picha nilifikiri ni sanamu ya njiwa! (@-@)
<br />mferenge kabisa huyo na sime yako, au mlenge na manati ya King'asti....<br />
<br />
yule ni mamushkar bana...mitindo yake na yangu tofauti kabisa...dont luz your kul