Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo tu kwenye picha ishakuwa tabu sasa ndo ulione live, kuna kulala? utapata usingizi wa mang'amung'amu tu
Halaf tangu mnipakazie nina busha, PM za kinamama zimeongezeka kweli, hii inasibitisha kwamba kweli kina mama wanapenda mabusha. Hata hawa kina bht na gaijin wanaona viabu flani tu lakini nina hakika baada ya kuangalia hizi picha za mabusha watadai talaka kwa mabwana zao watutafute
Bee
Ghafla bin vuu tushakuwa nasi tunayapenda! Wananchekesha hawa tablets!
Halaf tangu mnipakazie nina busha, PM za kinamama zimeongezeka kweli, hii inasibitisha kwamba kweli kina mama wanapenda mabusha. Hata hawa kina bht na gaijin wanaona viabu flani tu lakini nina hakika baada ya kuangalia hizi picha za mabusha watadai talaka kwa mabwana zao watutafute
Mwalimu wangu, hizo nyota hapo, siamini umeziweka wewe LOL. Jibu ni ndiyo............Usijaribu, hutaacha.......!
<br />kwa hiyo alienda kuwachuza akili wapwa zake ili wamchangie na kumbe mwenyewe bado analitaka eeh?
Nilitaka kuweka vimwezi vikakosekana. Lol
nawashangaa...khaa!! mizigo hiyo tuipeleke wapi sie? kwanza haya mambo na sie wapi na wapi!!!!
Hebu hiyo bold nitafsirie kwa ki_Shaban Robert au kwa Ki-Bluray a.k.a Kiranga. Manake kiswahili cha bara sie watu wa Pwani kinatusumbua.PAW haruhusu kabisa vimwezi, hukawii kupigwa ban ya masaa...
huyu Aspirini hapo ushankunuku tu anatamani ajue uliandika nini....lol!
Hapo huwa unawauliza "mmetucheki cheki kwa woga nini?!"
![]()
Umeona? Busha linakuwa hivi.
Hapo inabidi ushonee mfuko unalihifadhi.
Hapo ukijambishwa maji hayo yanapandisha mdadi
Hebu hiyo bold nitafsirie kwa ki_Shaban Robert au kwa Ki-Bluray a.k.a Kiranga. Manake kiswahili cha bara sie watu wa Pwani kinatusumbua.
Ngoja kwanza nijibu PM ya MwanajamiiOne, naona naye ni mwathirika wa mapenzi ya Mabusha. Damn....foleni imekuwa ndefu sana.
@ NN ....ka Afrodenzi kako bizee kanaupload yale maphoto yako jukwaa la maria mtoto wa roza.
Halaf mkuu ushalambwa ban nini? mbona nikiquote mapost yako inakuja msg , "member not registered" mwisho wa kunukuu
Hebu hiyo bold nitafsirie kwa ki_Shaban Robert au kwa Ki-Bluray a.k.a Kiranga. Manake kiswahili cha bara sie watu wa Pwani kinatusumbua.
Ngoja kwanza nijibu PM ya MwanajamiiOne, naona naye ni mwathirika wa mapenzi ya Mabusha. Damn....foleni imekuwa ndefu sana.
Honey! umejiskiaje uliponiona?Mhhhh!!! kweli tembea uone....!!! mhhhhhh!!!!