Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Bee

Ghafla bin vuu tushakuwa nasi tunayapenda! Wananchekesha hawa tablets!
 
Reactions: bht
hapo tu kwenye picha ishakuwa tabu sasa ndo ulione live, kuna kulala? utapata usingizi wa mang'amung'amu tu

Usihofu,

Huyo ni mgonjwa mahututi na anatakiwa kuonwa na dokta tu....You will hardly see him!
 
khaa muzee ya kujimegea mapande...lol!!
 
Bee

Ghafla bin vuu tushakuwa nasi tunayapenda! Wananchekesha hawa tablets!

nawashangaa...khaa!! mizigo hiyo tuipeleke wapi sie? kwanza haya mambo na sie wapi na wapi!!!!
 
Aisee nakudai
 
Nilitaka kuweka vimwezi vikakosekana. Lol

PAW haruhusu kabisa vimwezi, hukawii kupigwa ban ya masaa...

huyu Aspirini hapo ushankunuku tu anatamani ajue uliandika nini....lol!
 
nawashangaa...khaa!! mizigo hiyo tuipeleke wapi sie? kwanza haya mambo na sie wapi na wapi!!!!

Hapo huwa unawauliza "mmetucheki cheki kwa woga nini?!"
 
PAW haruhusu kabisa vimwezi, hukawii kupigwa ban ya masaa...

huyu Aspirini hapo ushankunuku tu anatamani ajue uliandika nini....lol!
Hebu hiyo bold nitafsirie kwa ki_Shaban Robert au kwa Ki-Bluray a.k.a Kiranga. Manake kiswahili cha bara sie watu wa Pwani kinatusumbua.

Ngoja kwanza nijibu PM ya MwanajamiiOne, naona naye ni mwathirika wa mapenzi ya Mabusha. Damn....foleni imekuwa ndefu sana.
 
kwa msaada wa haraka labda nikuitie Nzagamba aje hapa atoe msaada....
 
@ NN ....ka Afrodenzi kako bizee kanaupload yale maphoto yako jukwaa la maria mtoto wa roza.

Halaf mkuu ushalambwa ban nini? mbona nikiquote mapost yako inakuja msg , "member not registered" mwisho wa kunukuu
 
Ngabu lazma utajirike hapo.

Usisahau kifungu cha testimonials

😀
 
@ NN ....ka Afrodenzi kako bizee kanaupload yale maphoto yako jukwaa la maria mtoto wa roza.

Halaf mkuu ushalambwa ban nini? mbona nikiquote mapost yako inakuja msg , "member not registered" mwisho wa kunukuu

Walahi ntakaua kale katoto...kasithubutu hata kidogo!

Sijala ban ila huenda Cookie hajafurahia mimi kukupigia pande totoz
 
Nimepokea ya Lizzy muda si mrefu, acha niijibu na nadhani kuna ya Shantel imeingia. Dah bizee kweli aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…