Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
kanuni ya kwanza ya mapenzi heshima mbele simu yake nini na wewe.Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?
Unajua anafanya kazi gani?
Annina
need say more?ulimpenda yy au simu?simu ulinunua ww?so tatizo ni sm tu au kuna dalili nyingine umeziona?
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?
kanuni ya kwanza ya mapenzi heshima mbele simu yake nini na wewe.
Ujiamini na wewe yako anagusa, mpe muda labda kuna zimwi la kale anataka kulimaliza bila wewe kujua. its nice ukimpa mtu ka private chake ila uwe na darubini yako muda wote.
Nina mpenzi wangu nampenda sana,but one problem hataki niguse simu yake,na akipigiwa anatoka nje,what do you say my friend about that?kuna luv hapo au changa la macho?
Unajua anafanya kazi gani?
Annina
Wewe kwenye simu yake unatafuta nini nikuulize?? Mtu hana uhuru na simu yake kisa mapenzi??? Nikuulize kama kungekuwa hakuna simu akawa anaandikiana barua ungeenda post office kuchukua barua zake na kuzisoma au vipi??? Ulimpenda yeye au simu yake ndo unaipenda zaidi?? Kuchungwa kwingine hata hakufai kabisa wacha mtu aishi maisha yake kwa raha bwana na wewe pia ishi yako umempenda amekupenda mnapendana PERIOD and you let the love flow in the air.
AAAAAAAGH am getting pissed off with this mobile phone issues kwenye mapenzi.............
mtu wa kazi ni yupi?I was about to ask the same question. Nimekugongea SENKSI....!!! Usikute jamaa ni mtu wa kazi!
mtu wa kazi ni yupi?
Hapo kwenye red hapo.....Ndio maana mimi siku hizi natembea na landline kiunoni, sina mobile phone!
Hujui maana ya mtu wa kazi binamu?
sijui kweli??
Tupo pamoja dadaa hapooo kwenye kutoka nje kuna nini cha kuficha? Hilo changa la macho mkuu!huyu mpenzi wako naye inaonyesha ni mwingi wa habari kwanini simu iite yeye anatoka nje
inawezekana wewe usishike simu yake hiyo ni sawa kwa vile hajiamini je na hiyo ya kutoka nje..
anamaanisha hataki usikie anachoongea !!
Y ?
vyovyote mi nataka jibu tu!!! dah viswahili vingiBasi kama hujui maana ya mtu wa kazi nitaku PM maana yake!