Kwani kuna wenye madui humu?Habari,
Naomba niliweke wazi hili jambo ili baadhi ya watu wasinifikirie vibaya. Mimi silipwi kuwa humu JF na wala hakuna kitu ninachokipata zaidi ya Habari na Burudani kutoka kwa Wadau tofauti.
Naomba sana isije siku ukanichukia, maana nitakushangaza kwa ku-comment vizuri na kulike post zako.
NAWAPENDA SANA, NA WALA MIMI SINA TABIA YA DHARAU KWA MTU YOYOTE.
PEACE.
Mjanja M1 kwasasa napatikana Tokyo Japan 🇯🇵
Wasalimie wastaarabu wa JapanHabari,

Nimeona kuna baadhi ya watu wananiangalia tofauti.Kwani kuna wenye madui humu?
Basi hawajielewi.
Punguza kujitetea.
Tumekuelewa sana Mjanja M1, lengo sio kutengeneza maadui.Nimeona kuna baadhi ya watu wananiangalia tofauti.
NAUMIA SANA NINAPOONA LENGO LANGU LA KUJA HUMU LINAPOKELEWA TOFAUTI NA BAADHI YA WATU.
Mkuu, ukiangalia vizuri sababu ya haya yote nimimi kuandika mabandiko yanayokataza kunyonyana Tupu. Sijawahi kutukanwa na mtu hapo kabla, ila nilipoanza kuandika mabandiko ya kutaja madhara ya kunyonyana tupu ndio nikaanza kutukanwa na kichukiwa na watu.
SILIPWI NA JAMIIFORUMS, NATUMIA MUDA WANGU HUMU KUJIFUNZA NA KUINTERACT NA WATU BASI.
YOYOTE ANAENIANGALIA TOFAUTI NAOMBA UACHE, AU KAMA INAWEZEKANA NAKUOMBA SANA UNI-IGNORE.
SILIPWI HUMU.
🤣🤣kumbe chanzo cha kuchukiwa na baada ya kuwaeleza madhara ya kunyonya tupu..? dah binadamu wabaya unawapa msaada kwa faida yao wanakuchukia pole sana mkuuNimeona kuna baadhi ya watu wananiangalia tofauti.
NAUMIA SANA NINAPOONA LENGO LANGU LA KUJA HUMU LINAPOKELEWA TOFAUTI NA BAADHI YA WATU.
Mkuu, ukiangalia vizuri sababu ya haya yote nimimi kuandika mabandiko yanayokataza kunyonyana Tupu. Sijawahi kutukanwa na mtu hapo kabla, ila nilipoanza kuandika mabandiko ya kutaja madhara ya kunyonyana tupu ndio nikaanza kutukanwa na kichukiwa na watu.
SILIPWI NA JAMIIFORUMS, NATUMIA MUDA WANGU HUMU KUJIFUNZA NA KUINTERACT NA WATU BASI.
YOYOTE ANAENIANGALIA TOFAUTI NAOMBA UACHE, AU KAMA INAWEZEKANA NAKUOMBA SANA UNI-IGNORE.
SILIPWI HUMU.
KudosSINA ADUI HUMU NA WALA HAITOTOKEA NIKAWA NA UADUI NA BINADAMU MWENZANGU AMBAE SIMJUI.
NIPO KUJIFUNZA HUMU NA KUBURUDIKA.
kabsa kabisaaSINA ADUI HUMU NA WALA HAITOTOKEA NIKAWA NA UADUI NA BINADAMU MWENZANGU AMBAE SIMJUI.
NIPO KUJIFUNZA HUMU NA KUBURUDIKA.
Malengo yako ya Kuwepo hapa jf ni nini?SINA ADUI HUMU NA WALA HAITOTOKEA NIKAWA NA UADUI NA BINADAMU MWENZANGU AMBAE SIMJUI.
NIPO KUJIFUNZA HUMU NA KUBURUDIKA.
Namiliki page kubwa ya vichekesho.Broo jana nimesoma comment yako moja ulisema upo SA leo upo Tokyo, No broo kuna jambo halipo sawa, una mabawa ya mwewe??
I appreciate that, appreciate that.Namiliki page kubwa ya vichekesho.
Nimekuwa naishi ulimwengu wa matani na masihala kwa muda mrefu sana Mkuu.
Ukiniona napost kitu chochote tambua kuwa lengo langu ni kukufurahisha na kukuchekesha.
Hayo maneno ya "Mjanja M1 kwasasa napatikana " ni maneno niliyanona Mtibeli akiyatumia, kwahyo namimi nikayaiga ila kwa kuyaongezea utani wa maeneo Makubwa na maarufu Ulimwenguni.
Kupata Habari na kufurahi na watu.Malengo yako ya Kuwepo hapa jf ni nini?