Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kupata Habari na kufurahi na watu.
Shida ya kuona nachukiwa ilianza nilipoandika mabandiko ya kukemea Unyonyaji wa sehemu za siri.
NAAPA.! Sijawahi kutukanwa hapo kabla, nilipoanza kuandika mabandiko ya kukemea Unyonyaji wa sehemu za siri ndio nikawa natukanwa sana.
Ni experience mbaya sana, sijawahi kuishi mazingira ya watu wenye matusi hapo kabla. Niliumia sana kutukanwa lakini jana nahisi kuna shetani alinipata nikashindwa kujizuia pindi nilipotukanwa na mdau mmoja humu, aliniambia maneno haya "Kama nipo free anataka kunipa 350k us dollars ili nifanywe mchezo wa sodoma".
Niliishiwa nguvu nilijikuta natetemeka kwasababu yule jamaa ni mtu ambae nilikuwa namuheshimu sana.
Nilishindwa kujizuia nikajikuta namtukana (KOSA NILIFANYA), niliona tusi halitoshi kwahyo nikamwambia nitatumia resources zote aombe mungu nisimjue sura yake maana nikimfahamu nitamfanya kitu kibaya.
TOO BAD! Nayeye akajibu kuwa nitaacha kilio.
Niliwazq mengi sana jana nikajilaumu kutamka yale maneno, lakini ilikuwa Too late.
Nikamfuata yule jamaa PM, japo nilimtukana nikaomba radhi.
SINA CHUKI NA MTU, ILA NAHISI KUNA SHIDA MAHALI KWENYE JAMII YETU KUHUSU HESHIMA KWA WENZETU.
Asante.
Ikitokea ukaona najibu mtu vibaya basi tambua kuwa huwa najirudi na kujutia sana.
PEACE
Punguza kiherehere ishi humu Kawaida