Lakikunene
Senior Member
- Jul 18, 2017
- 129
- 145
Ahsante mkuu Naomba namba zako kama hutojali tuwasiliane pia hata kwa ushauriHakikisha unasimama katika Hilo la kuacha pombe,zingatia sana maisha yako wewe kama wewe,usihali watu wanakuchukuliaje!,Usipokuwa makini Kwa kuwajali utanikuta unarudia kwenye pombe!I was a heavy drunker!But Kwa uwezo wa Mungu nimeacha!Na sijali ya watu,nakuwa positive kwenye maisha yangu
We mwenyewe wanakudharau😂Msiache pombe mkiacha pombe huku mtaani tutakosa watu wa kuwadharau
Mlevi tu weweWe mwenyewe wanakudharau😂
Lakikunene ushatoka YerusalemNdugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe
Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi
Je nitafanyaje kuondoa hali hii hasa kwenye jamii na wafanyakazi wenzangu
Nb.Pombe nimeacha kabisa nakuamua kumrudia Mungu
Ahsante sana kwa ushauriAcha ujinga. Wewe ulikuja duniani kwa ajili ya watu?. Wewe ulikuja duniani na watu. Wewe angalia maisha yako. Wewe kuwa huru tu. Kama umeamua kuacha,ishi kiupya kama ulivyoona ni sawa. Binadamu sasa hivi watasahau wataona mapya tu unayoyafanya sasa. Usijali kabisa kuhusiana na ya zamani
Tatizo juzi tu nimelipia kodi miezi 3 nasijui nifanyajeKama umepanga hapo hama kabisa, kapange sehemu nyingine! Khs kazn badilika tu jumla kuanzia muonekano , uchapa kaz, kuwahi kazn, kumaliza rtb zako on time,,,, ! Pia badili aina ya marsfiki job, dili sana na mambo yako ,,, watakuja kugundua huyu mtu kabadilika,,,, !
Ahsante sana ndugu yanguMimi nilikuwa chapombe labda hata zaidi yako, addicted kabisa nilifanya uozo wa kila aina aibu za hovyoo, ila nilibadilika na kuacha pombe na kunyoosha maisha, kubali huko kusemwa kama mojawapo wa athari za pombe hivyo pokea changamoto nenda mbele kwa mbele usirudi nyuma.
Nina zaidi ya miaka kumi tangu niokoke na kuacha ulevi
Whaaat...? Nani ameokoka??Mimi nilikuwa chapombe labda hata zaidi yako, addicted kabisa nilifanya uozo wa kila aina aibu za hovyoo, ila nilibadilika na kuacha pombe na kunyoosha maisha, kubali huko kusemwa kama mojawapo wa athari za pombe hivyo pokea changamoto nenda mbele kwa mbele usirudi nyuma.
Nina zaidi ya miaka kumi tangu niokoke na kuacha ulevi
Nakuhakikishia wewe ndiyo utakuwa mlevi wa kwanza kuacha pombe! Walevi wenzako huwa wanapumzika tu kwa muda, kabla ya kurudi tena kwa kishindo.Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe
Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi
Je nitafanyaje kuondoa hali hii hasa kwenye jamii na wafanyakazi wenzangu
Nb.Pombe nimeacha kabisa nakuamua kumrudia Mungu