Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Trust the process, maisha yako yalishakuwa programmedWakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni πππππ
mambo ya destiny nakataaTrust the process, maisha yako yalishakuwa programmed
Si ufunge safari uende huko kijijini kwani unazuiwa na nani usiende na umesema pesa unayo?Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Mkuu ntaweza tuu.Utaweza kushika jembe kijana,mishangazi ishakumaliza kwishaπ
Sahizi road hukuti mtu ni kiza kinene mida ya fisi kufanya yao hiiSimple sana
Japo vijiji vya sasa vimeeendelea kuna mdaa asili inapotea ila maisha ya kijiji raha sana hakuna foleni hakuna kelele za ovyo Kuna upendo
Huyu dogo kuna dili nilitaka kumpa kalikataa π€£mambo ya destiny nakataa
Subhan AllahMkuu umeshiba futari?
Mkuu haya maisha nayapenda snaa sijui kwann...Welcome kijijini kijana
View attachment 3553896
Ila kuna kucha freshSahizi road hukuti mtu ni kiza kinene mida ya fisi kufanya yao hii
Km ni hivyo ingia Kisarawe hapo kalime bustaniMkuu ntaweza tuu.
Alafu naposema kulima sio kama unavyozani weww an kulima ile show show hapana.
Kulima unakua na kashamba kako kadogo ka kulima mboga mboga na miogo mkuu
Kaka huku mjini sipawezi sina amani mkuuTrust the process, maisha yako yalishakuwa programmed
Hapana sijapuuzia wala ...Mkuu ushauri wangu uliupuuzia? Au unatafuta kijiji kwanza?
Kweli umeamua..