Sijawah ona mishangazi modal mkuu au hao wanapatikana wapiMguu vipi alipata ajali?
Anyway haiwezi simama mtumbo wote huo?
Mashangazi wembamba ndio habari ya mujini🔥🔥
😃😃😃😃 Mkuu turudi kijijini banaAngalia avatar yangu halafu unilipe
Mkuu naomba connection nifike huko nipo tayari .Mi nakushauri nenda kule karatu kuna kijiji kinaitwa Mang’ora, kamata Muhadzabe mmoja uoe na wewe unakuwa miongoni mwao, wale hata mashamba hawana.
Kazi yao ni kuwinda, kupika , kula na kutiana!
View attachment 3553935
Mr pipa naweza nikawa nalipa nusu nusu mkuu..Kama una laki tano njoo nikupe heka 4 ni sehem tulivu ina vitu vya asil kama milima ambayo ukipanda juu yake nyuma yako unaona vijiji na jins mungu alivyofanya uumbaj mbele yako utauona mji ulivyojengeka na mengine meng oya lak tano tu nakua heka 4
Hapana mkuu hapana nakataaaBaada ya kuwachoka mashangazi!! unataka sasa ukaanze kula wa kienyeji wa kijijini!!!
Kijana! Kijana! Kijana!
Daaah kweli mkuu naweza sema hivo lakini hii ilikua toka utoto wangu wote ujue..Ukiona hivyo ujue umekua.
Watu wazima wengi wako kama wewe.
Ahahahah jamaaa alienda kuloga 😃😃😃😃😃😃Hapa ni kwa mganga acha uongo
Daaah shekhe wangu umefika mbali kusema nijenge au ninunue mashamba..Tunafanana sana na wewe,hivyo nilinunua shamba kijijini wilaya nkasi,kwenye kijiji cha cini na nilijenga nyumba ya tofalinza kuchoma,nikaweka sola wakati huo umeme ulikuwa hakuna,sasa upo huwa naenda nakaa miezi 3 au 4 hivi ni raha sana.Sasa tafuta shamba kwenye kijiji ama kwenye mkoa ulikozaliwa au kwenye mkoa wenye rutba,mvua nzuri na ambapo kuna maji ili uchimbe kisima,jenga nyumba ya vyumba 3 basi uanze kilimo utafutahi
Mkuu una shida...sana look at youUnatumalizia MB zetu bure! Hakuna anayetamani kuishi kijijini halafu hajui cha kufanya.
Maswali gani haya mkuu..Mjini kwa sasa unajishughulisha na nini?
Mjini popote palemjini ipi unayoizungumzia au daiselam😆😆😆😆😆.
Chochote kile mkuu kwenye bardi kama moshi au arusha au pwani au tangaKijiji gani
That’s a crime!Mashaka yapi tena?
Mkuu think twice..Una umri gani? upo serious kweli? kijijini sio sehemu nzuri ya kuishi, magonjwa, huduma mbovu za kijamii, mzunguko mdogo wa hela na changamoto nyingine kibao, sio sehemu ya kuishi labda ni kwenda kusalimia na kurudi
Umri wangu nikijana tu wa miaka ya kawaidaUna umri gani? upo serious kweli? kijijini sio sehemu nzuri ya kuishi, magonjwa, huduma mbovu za kijamii, mzunguko mdogo wa hela na changamoto nyingine kibao, sio sehemu ya kuishi labda ni kwenda kusalimia na kurudi
Ndgu life la mjini silielewi mkuu kweli sielewi mkuu najikuta naingia kwenye msongo wa mawazo wakati life ni very short na bado unakua unawaza waza tu..Ndugu wamekufanya nini ndugu yetu. Zingatia katika swali langu fupi ndugu imejitokeza mara mbili
Upo wapi mkuu... Kijiji gani hiko..?Kwangu kwenyewe bila AC hutoboi lakini nimeenda mpaka nmeondoka silijui feni wala mbu ni pure oxygen tu inshort nmerestart ubongo wangu
Kweli kabisa nashangaa wanaotaka kuja mjini kumbe huku wazawa hatupaelewi kabisaMjini mbwembwe tu maisha yapo kijijini