Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
-
- #201
Sio tukuyu tu an watu wa kijijini ndo wanaishi maisha aiseee..Simple tu. Wengi wanapostafu utafutataji wanatamani waishie kwenye maisha kama hayo ya kijijini. Tatizo tu linakuwa uwezo kiuchumi.
Kama umejipata kiuchumi ni rahisi kwako maeneo Tanzania yenye nature ni mengi tena makubwa. Ni uwezo wako tu.
Nakuchagulia kaishi Tukuyu kanunue pembeni ya mto. Utafiti wanaishi tukuyu wanaishi miaka mingi
Manyanza wwe kwenye suala la.umri.tu ndo umeshikilia haphapo.an daaah πππππHuyu mleta mada hata miaka 25 sidhani kama anayo? Ndio maana anajiita poor brain
Haha si ndo maana ya kusema unataka ukaenjoy na wa kienyeji huko kijijini.Hapana mkuu hapana nakataaa
Mkuu nataka nikaishi huku tuu niinjoi maisha
Mamyyu nakuja moro...Haunishukuru mama yako kwa kukuzaa na kukupa genes nzuri?
Mimi nilivyohamia Morogoro si mlinishangaa, maisha ya mjini yalishanishinda, napenda sana kuwa secluded huku milimani.
View attachment 3554007
nimeipenda hii π€£π€£Trust the process, maisha yako yalishakuwa programmed
Sio lengo langu.. japo daaah nikienda ntapeleka motrooo huko ahahahahaha mpaka wajuteHaha si ndo maana ya kusema unataka ukaenjoy na wa kienyeji huko kijijini.
Jamaa jau hamna kitu kama hikonimeipenda hii π€£π€£
mtafutie kijiji ma mchungajiMkuu ushauri wangu uliupuuzia? Au unatafuta kijiji kwanza?
Kweli umeamua..
Mkuu bado nipo katika process kama upo tayari karibu tuyapange tujue tunaanzia wapi....Vipi umeshafanikiwa kwenda kijijini? Nahitaji shamba la kukodisha
Wewe tangulia tu mkuu. Nitakuwa nakutumia kwa project za kilimo cha mbogamboga.Mkuu bado nipo katika process kama upo tayari karibu tuyapange tujue tunaanzia wapi....
Nipp tayari niwe balozi wa kwenda kijijini
Alafu mwenzako mwanzoni nikajua upo seriously ππππππWewe tangulia tu mkuu. Nitakuwa nakutumia kwa project za kilimo cha mbogamboga.
sote tuko programed bro,kabla hujaenda mahali tayari ilishaandikwa utaenda mahali fulani au ili ufanikiwe bi lazima utapita njia fulani,kuna mtu hata awe mjini miaka mingapi anaweza asifanikiwe maana fate yake ya kufanikiwa ipo kijijini so usishangae maana Mungu anasema nilikujua tangu upo tumboni mwa mama yako maana sperm zote zile milions lakini unatoka mmoja yani wewe ehh imagineJamaa jau hamna kitu kama hiko
πππππ―π―π―
What purpose of successful...?sote tuko programed bro,kabla hujaenda mahali tayari ilishaandikwa utaenda mahali fulani au ili ufanikiwe bi lazima utapita njia fulani,kuna mtu hata awe mjini miaka mingapi anaweza asifanikiwe maana fate yake ya kufanikiwa ipo kijijini so usishangae maana Mungu anasema nilikujua tangu upo tumboni mwa mama yako maana sperm zote zile milions lakini unatoka mmoja yani wewe ehh imagine
Hasa wakijua ni kijana kutoka Daresalama, watagongana mbaya.Sio lengo langu.. japo daaah nikienda ntapeleka motrooo huko ahahahahaha mpaka wajute
kufanikiwa hupangi wewe mkuu π€£π€£ ni Mungu ,wapo wqlijaribu sana kupambana sanaaaa lakini hola ila wapo ambao hawajaenda hata shule lakini wamefanikiwa, kwahiyo haijalishi upo wapi neema ya Mungu ikikujia utafanikiwa popote ulipoπ€£What purpose of successful...?
Mi nataka amani ya moyo haijalishi naenda kufanikiwa au laa..
Mkuu kuna level flan ukiwa nayo utaona hii kufanikiwa kwa mali na majumba hamna kitu kabisa ila amani ya moyo ni kila kitu
Sio kijana wa dar pia ni mpelekaji moto vibaya mnooooo.Hasa wakijua ni kijana kutoka Daresalama, watagongana mbaya.
Kwahyo mkuu just niwe cool nisibabaike sana kama ipo ipo tu sio..?kufanikiwa hupangi wewe mkuu π€£π€£ ni Mungu ,wapo wqlijaribu sana kupambana sanaaaa lakini hola ila wapo ambao hawajaenda hata shule lakini wamefanikiwa, kwahiyo haijalishi upo wapi neema ya Mungu ikikujia utafanikiwa popote ulipoπ€£
Haha chunga usije ukatupiwa majini huko uendako.Sio kijana wa dar pia ni mpelekaji moto vibaya mnooooo.
ππππππππ―π―π―π―
Wacha nende kijijini kula sild..
Huko unaweza jikuta zile bikra 72 za peponi ukazipata without reaching heaven
Dogo ameteleza sana kuandika hayo maneno πThatβs a crime!