Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Wala usiwashangae sio kila mtu anapenda nature, hizo vurugu unazozikimbia wenzio ndio wanazipenda, hata wao wanakushangaa kutoka mjini kwenda kijijiniRaha sana sana sana kuna sehemu tanga ndani ndani mpaka nasemaga sizani kama kuna watu wanazeeka kule.
Nashangaa wanaotoka vijijini kuja mjini for what reason...
Watu hawajui tu how nature is beautiful na ndio maana watu wakubwa unakuta wanaenda kutalii ndani ndani huko...
Sasa just imagine sehemu ambayo watu wanaenda kutalii na kupunguza stress wewe yale ndo maisha yako
Nitashikiliaje umri wako? 🤣Manyanza wwe kwenye suala la.umri.tu ndo umeshikilia haphapo.an daaah 😃😃😃😃😃
Kaka NIKISHA WAHI SEMA HUMU Kuna WATU wakazani natania, eti mbeya, mbeya, HAPO songea SIKU MOJA NIMESEMA Leo NGOJA nile stand NIKIWA kwenye hustle ZANGU kwanza nikashangaa eti mama ntilie wanauza UGALI kuku, MMH nikauliza shingapi, eti elfu MBILI, bro niligoma KULA NIKAOGOPA, nikapanda HUKU JUU nikauliza chips yai shingapi nikaambiwa buku. Nika TOKA nduki half cake mia MBILI nikazipalamia weee.Nimetoka kumpeleka wife Songea vijijini huko kila nyumba wamelima mahindi na vyskula nje naweza ndo mkoa ambao ukiwa na 10k unatumia week nzima na bado change inabakia nmeondoka nmepewa vitu kibao na majirani mahind,maharage,nyanya,vtungu buree inshort ni sehemu yenye upendo wa kweli na neema ya chakula
Aiseee pole sana, tuweni makini na maneno tunayotumia! Global crime kama hizi sio za kuletea mizaha kabisa! Anything can happen..Dogo ameteleza sana kuandika hayo maneno 😀
Halafu hiyo human trafficking ni moja ya kesi hata kama sio kesi lakini ni jambo ambalo halifai kabisa kuliweka kwenye mijadala hasa kwenye mitandao ya kijamii kama humu.
Maana humu watu wanachukulia poa lakini kuna watu huwa wanakufuatilia unapotoka na unapoenda.
Nina ushahidi na hili kupitia thread ya mdau fulani. Na ilishawahi kunitokea halafu ni jambo la kawaida tu, lakini kila sehemu nilikokuwa naenda taarifa zangu zilikuwepo.
Aje tunywe mbege na nguruwe 😀Hapa ongea na min -me ndio ana experience haya maishaView attachment 3553902😍😍
Ebu nicheki inboxAiseee pole sana, tuweni makini na maneno tunayotumia! Global crime kama hizi sio za kuletea mizaha kabisa! Anything can happen..
Sijakupa background yangu ww..Haha chunga usije ukatupiwa majini huko uendako.
Ni mbaga huyo 😃😃😃😃😃Dogo ameteleza sana kuandika hayo maneno 😀
Halafu hiyo human trafficking ni moja ya kesi hata kama sio kesi lakini ni jambo ambalo halifai kabisa kuliweka kwenye mijadala hasa kwenye mitandao ya kijamii kama humu.
Maana humu watu wanachukulia poa lakini kuna watu huwa wanakufuatilia unapotoka na unapoenda.
Nina ushahidi na hili kupitia thread ya mdau fulani. Na ilishawahi kunitokea halafu ni jambo la kawaida tu, lakini kila sehemu nilikokuwa naenda taarifa zangu zilikuwepo.
Nguruwe hapana mkuuAje tunywe mbege na nguruwe 😀
Ok lakini muda wa kuanza hiyo mipango ni huu sasaDaaah shekhe wangu umefika mbali kusema nijenge au ninunue mashamba..
Huko bado sijafikia ila tu nataka ndo nianze from scratch sio kama nipo financial stable.
Lengo la kwenda kule ni kupata amani ya moyo haijalishi naenda kufikia wapi ila nachotaka kuishi kule tu
Mkuu mafia kule mama yangu mzazi amekaa kule..MI BADO NAKIWAZIA KISIWA CHA MAFIA,
MAISHA YA UPWEKE YASIYO NA KELELE
SWIMMING KWENYE NATURAL WATER
KUJICHANGANYA NA WATU KUTOKA NJE
USALAMA, MABOMU HAYAFIKI KULE
ENVIRONMENTAL POLLUTION IKO LOW AU HAKUNA KABISA
USTAARABU, NO MAKELELE
HUFIKIKI KIWEPESI
Daaah ni kweli mkuu nataka niende huko sasa naanza kuuza vitu vyangu vya ndani na kujichanga zaidi ili nikifika kule ni kulima na kuishi kwa amaniOk lakini muda wa kuanza hiyo mipango ni huu sasa
Huo mpango usiwe wa miaka 2 au 3 hivi,jipange polepole na utekeleze kidogo kidogo.Haraka hutawezaDaaah ni kweli mkuu nataka niende huko sasa naanza kuuza vitu vyangu vya ndani na kujichanga zaidi ili nikifika kule ni kulima na kuishi kwa amani
Naogopa nisije badili mawazo mkuuHuo mpango usiwe wa miaka 2 au 3 hivi,jipange polepole na utekeleze kidogo kidogo.Haraka hutaweza
Daaah kweli mkuu naweza sema hivo lakini hii ilikua toka utoto wangu wote ujue..
Sasa najikuta mwaka huu hali imekataa kabisa kuishi mjini na sio kwamba babu hana mashamba ndani ndani huko .
Anayo ila sasa kukaaa kwenye ring ya family staki kuna mambo mengi sana
ok fanya kile moyo wako unavyokuongozaNaogopa nisije badili mawazo mkuu
Mkuu nazungumza uhalisia kabisa, wengi waliotoka vijijini wakifika mjini hawasemi ukweli kiasi kwamba kuna watu wanaingizwa chaka kama wewe, ila utakumbuka hii comment siku moja. Mimi nimezunguka sana mikoani napafahamu mkuuMkuu think twice..
Ulichoongea ni kweli ila ilikua zamani kwa sasa vijijini kuna huduma za jamii kama zote na ishu ya maginjwa ni very rarely kule