Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Kijijini maisha Safi Sana ,nikiendaga kijjni kwetu uwa nafurahi sana
Kijijini kwenu wapi huko....
Daaah mi nataka niende mwezi huu huu nikipata connection
 
Na je utakaa eneo lina fursa zipi , ajira za kueleweka , huduma muhimu au unakaa ilimradi umejaa😅😅
Mi nikae tuu kuhusu huduma kuna huduma takua natoa...

Ambayo na uhakika ntakua napata pesa ya kujikimu kabisa kuweza kula na kupata other basic need mkuu.
 
Karibu Mbulu, kata ya mbulumbulu hutojuta mkuu
 
Mkuu ukiwa na pesa tu yote yanawezekana.
 
Njoo jiji la Mbeya, ni kama mjini na kijijini at the same time na hakuna joto
Foleni inaenda kuisha soon, kwa sababu wanapanua barabara kuu na ndio barabara pekee yenye foleni, na foleni sio kubwa sana

Ila huku misitu, milima, chemchemi vyote vipo ndani ya jiji kwa hiyo Nature ipo karibu sana, na gharama za maisha zipo chini

 
Basi subiri ye atangilieko kwanza AKISHA setlle WALAU MWAKA mmoja NENDA kapacheki ALAFU utajiongeza ila KULE AMANI, HATA matukio ya OKTOBA 29 hayakufika huko
Mkuuu naenda huko kabisa mjini sipawezi mimi aiseeee..
Sema maji maji maji daaah mkuu we maji huogopi
 
Mkuu kweli kabisa maisha ya mjini yamefanya niwe na imani dhaifu sana...

Just imagine hapa nilipo mara ya mwisho kwenda msikitini ile seriously na kulia kwa Mungu wangu skumbuki kabisa
 
Mkuu na wewe kumbe kama mimi an nime imagine tayari hiyo life uwezi amini an daaah aiseeee
 
Moja ya Siri ya Kijiji Bora, ni pale kile utakachokuta migomba inamea vizuri sambamba na minazi. Kijiji Cha namna hiyo hawajawahi kutwa na njaa, kwa mazao mengi sana yatakuwa yanamea hapo, uchumi wa eneo hilo huwa umesettle sana.
Daaah mkuu huko ni moshi au tukuyu mbea aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…