Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
-
- #301
Mkuu naona kabisa umepiga picha maeneo ya itezi juu kule karibu na mlima kawetere sio..Njoo jiji la Mbeya, ni kama mjini na kijijini at the same time na hakuna joto
Foleni inaenda kuisha soon, kwa sababu wanapanua barabara kuu na ndio barabara pekee yenye foleni, na foleni sio kubwa sana
Ila huku misitu, milima, chemchemi vyote vipo ndani ya jiji kwa hiyo Nature ipo karibu sana, na gharama za maisha zipo chini
View attachment 3554419
View attachment 3554425View attachment 3554426View attachment 3554427View attachment 3554428View attachment 3554429View attachment 3554430View attachment 3554431View attachment 3554432View attachment 3554433
Nikafanye nini sasa kijijiniUnasubri nn mkuu
Kaka nakuja huko ngoja nianze jpanga aiseeeeKaribu kwetu marangu kakaView attachment 3554438
Mkuu uchumi wangu upo kawaida as day nafika hapa mjini...Hali hii huwatokea wengi, hasa mambo ya kiuchumi yakiwa hayaendi sawa. Sijui kwako uchumi unasomaje.
Mkuu kuna mtu kanipa mnjongo wa huko katavi ila sasa ishu ni kuwa ameniambia kule niende kuhusu pesa nisahau ππππππππKatavi bado kuna mapori. Unaweza kuhamia huko.
Hukubaliani na lifestyle unayoishi, angalia isije ikakuletew msongo wa mawazo na sonona. Kubadilisha mazingira pia ni tiba.Mkuu uchumi wangu upo kawaida as day nafika hapa mjini...
Ndio maana nimetanguliza kusema sio kama nina uchumi mbovu hapana.
Nipp na ofisi inayo nipa basic need kabisa ila tu najikuta nipo kwenye stress ambazo zinasababishwa na life la hapa ile life style...
Karibu sana kaka huku hutajuta kituKaka nakuja huko ngoja nianze jpanga aiseeee
We jau wewe...Nikafanye nini sasa kijijini
Hii kitalaamu inaitwa Urban FatigueWakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni πππππ
#twendezetukijijini Jumlisha
Ni kweli mkuu mpaka sasa nakuta sina amani..Hukubaliani na lifestyle unayoishi, angalia isije ikakuletew msongo wa mawazo na sonona. Kubadilisha mazingira pia ni tiba.
Labda twende tukaanzishe kijiji chetuWe jau wewe...
Huku dar unafanya nn sasa au ndo "Ute mama uteeeeee" πππππππ
Asante mkuu..Karibu sana kaka huku hutajuta kitu
Daaah mkuu acha kabisa..Hii kitalaamu inaitwa Urban Fatigue
Ndio maana watu wana rural vacation homes
ππππ Wapi sasa liwale au ,ππππLabda twende tukaanzishe kijiji chetu
Kabla ya kuamua kwenda moja kuhamia kijijini(remote area), fanya uende kukaa kwa mwezi mmoja au zaidi kidogo.Ni kweli mkuu mpaka sasa nakuta sina amani..
Unakuta hudaiwi
Huna familia
Huna simu za matatizo
Huna majukumu
Lakini nina stress sijui zinatoka wapi ile life ya kuwa near na watu hapa inanipa stress tu..
Nashangaa kuna wenzangu hawana source ya income ila wapo happy wapo good wana amani ila mimi wapi mpaka najishangaaa shida nn.
Hu utulivu huwa unakuja siku ikinyesha mvua ndo huwa na amani navoona ile rangi ya kijanai.
Mara nyingi nikiwa na hii hali huwa mitandaoni kuangalia picha za vijijini mkuu
Sema Mbeya ni kubwa ππMkuu naona kabisa umepiga picha maeneo ya itezi juu kule karibu na mlima kawetere sio..
Mbeya nimekaa mkuu nimesoma itezi sec hapo...
Nimekaa isyesye pia an daah kule kuna life kabisa aiseee
Daaah mkuu acha kabisa...Kabla ya kuamua kwenda moja kuhamia kijijini(remote area), fanya uende kukaa kwa mwezi mmoja au zaidi kidogo.
Nimesoma kitu hapa, urban fatigue. Ukiishi mjini throughout bila kwenda kijijini kwa mda mrefu, ubongo unachoka!!
Mkuu upo kijijini au mjini
Yeah hukohukoππππ Wapi sasa liwale au ,ππππ