Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Weye nawe Kila pahala wapataka๐Ÿคฃ๐Ÿƒ
Mpaka sasa nimepata sehemu mbili za uhakika
1.mbinga uliposema
2. Katavi ndani ndani

Mwezi huu nafanya mchakato nijue nafika wapi.. ila naona kabisa nafika mbinga aiseeee kuna kitu umeongea kimefanya nione huko ndo pa kuishi kabisa
 
Keko magurumbasi
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Dar kuna harufu mbaya, sijui watu ni wananuka ama wachafu, kila kona utakopopita lazima kuna ka eneo ukute harufu mbaya sanaa ya uozoo.

๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
Nilienda Micasa haki ya Mungu watu wa dar ni wachafu harufu kaliiii
 
Oky sasa weqw unachotafyta ni ugomvi na huna lingine..

Weww unachotafyta na watu wa dasalamu utakipata mda si mrefu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Dar kuna harufu mbaya, sijui watu ni wananuka ama wachafu, kila kona utakopopita lazima kuna ka eneo ukute harufu mbaya sanaa ya uozoo.

๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
Nilienda Micasa haki ya Mungu watu wa dar ni wachafu harufu kaliiii
Mkuu sisi sio wachafu asee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ...ila nimecheka sana
 
Mkuu sisi sio wachafu asee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ...ila nimecheka sana
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Jamaa jau sana
An kaongelea hiki kitu personal kabisa
 
Mkuu sawa umezunguka lakini kumbuka vijijini sio sawa na mjini ukifananisha kwenye ishu ya magonjwa.

Mjini pamechafukwa mkuu
Nilikuwa sijui kitu kuhusu typhoid,uti,amoeba na magonjwa mengine nilivofika kijijini niliumwa magonjwa yote hayo.Hata dawa feki na sub standard vijijini ndio kwao,kuna baadhi ya huduma za afya kuzipata mpaka halmashauri ambazo ni kama wilayani mfano; huduma ya kung'oa jino iyo mpaka halmashauri, kwengine daktari hakuna, kuna huduma nyingine mpaka referral hospitals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ