Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Mkuu kama bado hujapata Kijiji cha kwenda nikupe lokeshen chap kwenye vijiji vya wamasai ukachunge ng'ombe, Kadhalika pia wakufundishe jinsi ya kufanania nature.
 
CHUKUA MPANGO HUU

Nimekuwekea mtiririko mzuri kama proposal ya mradi. Pia nimechagua ukandaa ili mpango uwe na mwelekeo.

1. Uchaguzi wa Ukanda​

Ningependekeza Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini:

  • Iringa
  • Mbeya
Sababu:

  • Hali ya hewa nzuri kwa kilimo na ufugaji
  • Maji yanapatikana kwa urahisi
  • Ardhi ni yenye rutuba
  • Inafaa kwa miradi ya samaki, kuku, ng’ombe na mazao

MPANGO WA MRADI WA SHAMBA (HEKARI 100)​

Hatua ya 1: Uchaguzi wa Eneo​

  • Chagua eneo kwenye ukanda wa Nyanda za Juu Kusini (Iringa/Mbeya)
  • Hakikisha:
    • Kuna maji karibu (mto au kisima)
    • Barabara inafikika
    • Ardhi inafaa kwa kilimo na ufugaji

Hatua ya 2: Ununuzi wa Ardhi​

  • Nunua hekari 100
  • Hakikisha:
    • Ardhi ina hati au taratibu halali
    • Imehakikiwa mipaka
    • Imeandikishwa kwa jina lako

Hatua ya 3: Mpango wa Ramani ya Shamba​

Ajiri planner au architect akuandalie master plan ya shamba.

Ramani igawanye maeneo yafuatayo:

  1. Eneo la makazi
    • Nyumba yako
    • Ofisi ya shamba
    • Nyumba za wafanyakazi
  2. Eneo la ufugaji
    • Ng’ombe
    • Mbuzi
    • Kuku
    • Sungura
    • Bata
    • Samaki
  3. Eneo la kilimo
    • Chakula cha binadamu
    • Mazao ya chakula cha mifugo
  4. Eneo la viwanda vidogo
    • Mashine za chakula cha kuku
    • Mashine za kusaga nafaka
    • Mashine za kusindika maziwa

HATUA ZA UJENZI (PHASES)​

Phase 1: Settlement​

  • Jenga makazi ya muda
  • Anza kuishi eneo la mradi kusimamia kazi
  • Tengeneza:
    • uzio wa shamba
    • kisima cha maji
    • barabara ndogo ndani ya shamba

Phase 2: Maandalizi ya Miradi​

1. Ufugaji​

Anzisha taratibu:

  • Samaki (mabwawa)
  • Kuku
  • Ng’ombe
  • Mbuzi
  • Bata
  • Sungura
Faida:

  • Chakula cha familia
  • Biashara
  • Mbolea kwa mashamba

2. Viwanda Vidogo​

Anzisha:

  • Mashine za kutengeneza chakula cha kuku
  • Mashine za kusaga nafaka
  • Mashine za kusindika chakula cha mifugo

3. Mfumo wa Maji​

  • Visima
  • Tangi kubwa la maji
  • Mabomba ya kusambaza maji

4. Ulinzi​

  • Uzio wa shamba
  • Walinzi
  • Kamera (kama inawezekana)

Phase 3: Usajili na Vibali​

Fanya taratibu za serikali:

  • Usajili wa biashara
  • Vibali vya mifugo
  • Kodi na leseni
  • Usajili wa viwanda vidogo

Mwisho Mzee​

  • Kukamilisha miradi yote
  • Kufanya ufunguzi rasmi wa shamba
  • Kuwakaribisha watu kwa dua ya baraka
  • Kisha kula ubwabwa pamoja

chuma hicho
 
Kuna kitu kinakusumbua ndio maana unawaza hivyo

Nishawahi pitia Hali kama hiyo na nikawaza hivyo hivyo unavyowaza wewe
 
Maisha ya kijijini hapana aisee.Midudu ya kila aina ew.Watu wamechoka wamechakaa mikono migumuu.

Back to you.
Uza vyote ulivyo navyo mjini katafute pori maeneo ya wahadzabe uhamie.Wale si watu wa circle kubwa.
 
Yah nilikuwa natimba sana pande hizo, na kuna club moja hivi inaitwa jonhson mall ipo apo apo njombe town sijui kama unaipata? Ina balaa nayo
Mkuu ujue mi nimekaa hapo miaka.miwili ila napajua kinoma noma nimetembea sana mkuu
 
Kitu kilichonishangaza njombe, ndio mkoa unaongoza kwa ngoma ila wadada wanatoka sehemu mbali mbali kuja kujiuza nilistaajabu sana
Ahahahha ngoma ni kwa sababu ya bardi watu wanapigana miti kila leo
 
Maisha ya kijijini hapana aisee.Midudu ya kila aina ew.Watu wamechoka wamechakaa mikono migumuu.

Back to you.
Uza vyote ulivyo navyo mjini katafute pori maeneo ya wahadzabe uhamie.Wale si watu wa circle kubwa.
Mmmh mkuu acha basi si maneno mazr hayo
 
We jamaa ebu naomba nipe info kwa uzuri mbna umeongea seriously sana hivo et ebu naomba nielekeze vzr mkuu
 
Njombe town kupo poa sana ni moja ya sehemu nilizozipenda sana, kuna hotel inaitwa hillside nayo iko poa sana, ndio mara ya kwanza kuona mdada wa kiarabu anajiuza njombe kwenye hii hotel
We jamaaa nimegundua unapenda totoz kinoma an wewe unaongelea watoto tuu toka mwanzo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kama bado hujapata Kijiji cha kwenda nikupe lokeshen chap kwenye vijiji vya wamasai ukachunge ng'ombe, Kadhalika pia wakufundishe jinsi ya kufanania nature.
Bado nakusanyanya kusanya data mkuu ila bado sijapata exactly location
 
Reactions: al1
Duuuh hatareee hii mkuu
Mbeya hapana labda iringa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Nimesoma hapa nimeona kabusa hapa uwe na capital
 
Kuna kitu kinakusumbua ndio maana unawaza hivyo

Nishawahi pitia Hali kama hiyo na nikawaza hivyo hivyo unavyowaza wewe
Ndio kipo na kinachonisumbua ni hali ya kupigiwa simu kila leo ni ishu za pesa pesa na weww bado life la kelel siwezi mkuu bora nende huko nikajifungue
 
Mimi pia Nina akili za kuingia huko Kijiji ndichi ndani kabisa,nikakae kwenye eneo la hela kama mbili hivi ,nasemezana na kuku na mbuzi tu
 
Mimi pia Nina akili za kuingia huko Kijiji ndichi ndani kabisa,nikakae kwenye eneo la hela kama mbili hivi ,nasemezana na kuku na mbuzi tu
Mkuu project ako unaanza lini
 
Ndio kipo na kinachonisumbua ni hali ya kupigiwa simu kila leo ni ishu za pesa pesa na weww bado life la kelel siwezi mkuu bora nende huko nikajifungue
Kuwa makini usije tatua tatizo refu kwa njia fupi....mara nyingi Huwa inatabia ya kujirudia zaidi ya awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…