Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Hapana sijapuuzia wala ...
Sijapuuzia ila sijui naanzia wapi mkuu
Sijui naanzia wapi sasa..

Ila ushauri wa kuwowa vibinti vidogo ule bado ninao na unanipa hamasa zaidi πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Oya unataka kulima au unataka vibinti vidogo? Unatumix hapa unajua
 
Simple sana
Japo vijiji vya sasa vimeeendelea kuna mdaa asili inapotea ila maisha ya kijiji raha sana hakuna foleni hakuna kelele za ovyo Kuna upendo
Raha sana sana sana kuna sehemu tanga ndani ndani mpaka nasemaga sizani kama kuna watu wanazeeka kule.

Nashangaa wanaotoka vijijini kuja mjini for what reason...

Watu hawajui tu how nature is beautiful na ndio maana watu wakubwa unakuta wanaenda kutalii ndani ndani huko...

Sasa just imagine sehemu ambayo watu wanaenda kutalii na kupunguza stress wewe yale ndo maisha yako
 
Huyu dogo kuna dili nilitaka kumpa kalikataa 🀣
Hawezi lolote huyu wacha aendelee kujitafuta akijipata ataacha hizi nyepesi nyepesi
Manyanza kwa lile dili lako bora nikalime tu kaka au mara kumi nende buguruni kubeba viroba vya unga..

Au nikauze chenji tuu kama ushauri napewagwa na Evelyn Salt
 
Hapana sijapuuzia wala ...
Sijapuuzia ila sijui naanzia wapi mkuu
Sijui naanzia wapi sasa..

Ila ushauri wa kuwowa vibinti vidogo ule bado ninao na unanipa hamasa zaidi πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Ulishawahi kukaa hata mwaka mmoja kijijini? Usije kurudi kwa spidi zote town!

Kama kinachokupeleka ni mabinti wadogo, tulia mjini tukutafutie taratibuπŸ˜ƒ
 
Si ndio kijijini ni raha sana nishawai kwenda camping maeeneo Fulani ni vijiji vya ndani ndani sana aisee yale maisha niliyapenda sana mpaka leo nipo town sababu ya natafuta ela ya Toyota Hilux gr ya 2018 niki hipata hii naamia bush asubuhi nikalime
 
Off grid life
 
Ulishawahi kukaa hata mwaka mmoja kijijini? Usije kurudi kwa spidi zote town!

Kama kinachokupeleka ni mabinti wadogo, tulia mjini tukutafutie taratibuπŸ˜ƒ
Hapana seran napenda nature
Seran napenda upepo.
Napenda sauti za ndege
Napenda Kulala kwenye majani
Napenda kucheza kwenye maji ya mvua
 
Mkuu naomba wewe uwe miongoni mwa ambao takua nao katika hii kampeni ya kurudi kijinini.

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Umetoa ushuhuda mzuri sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…