Ndo mambo nayoyapenda hayo sasa, kama biashara za maisha ya kawaida yameshindwa kunipa mafanikio bc bora nijaribu upande wa piliπππππ Utarud hapa..
Ndo nyie mtatoa na uzi kabisa...
Mi nilikaza.nikatulia tu nikasema broo hapana i can't nyie endeleeni tu mi bado napenda ugali
Kilimanjaro sahii ni low season inanyesha mvua ya barafu snowπ¨οΈHapa ongea na min -me ndio ana experience haya maishaView attachment 3553902ππ
Najaribu kupuuzia, is this a joke right?human trafficking
human trafficking 10 people=2B wafike falme za kiarabu.Najaribu kupuuzia, is this a joke right?
Na itakuwa hivyoNiseme.mkuu kuwa wewe ume win sana ππππ
Hayo maisha ni kama ndoto kwa watu wengine.
Still nina hizo ndoto
πππππππππππππππππππOoh my God that life i want that life i wantHapa ongea na min -me ndio ana experience haya maishaView attachment 3553902ππ
Kilimanjaro sahii ni low season inanyesha mvua ya barafu snowπ¨οΈ
Kama una afya mbofumbofu lazima ulale mbereπ
Tell me you are joking ππ½ββοΈ Why traffick fellow humansπ°human trafficking 10 people=2B wafike falme za kiarabu.
Daaaah mkuu unachoongea kweli kabisa aiseeee..Na itakuwa hivyo
Maisha ya mjini kipindi nimepanga nilichoshwa na zile fujo, barabara ilipojengwa nilifurahia lakini ikageuka kero, magari yanapaki nje ya nyumba, mtaro mchafu, gari kubwa ikipita kuna mtetemo, n.k.
Kuna kiwanja cha karibu iligeuza kuwa gereji yani mafundi nyundo ni tabu juu ya shida
Omba sana kanisa la kilokole au msikiti ukajengwa maeneo ulipo, utaijua maana ya noise polution
watu wengi wanahama, wanauza nyumba zijengwe biashara, kuna iwezekano mdogo wa kuwa na jirani mlieishi zaidi ya miaka 20.
watoto kutoka nje zaidi ya kwenda shule kuna usalama mdogo wanalazimika kuwa Geti kali
You kill me
Daaah maisha ya kukaa na mishangazi naweza kusema naachana nayo mwaka huu wa bajeti 2025/2026Bila kusahau limshangazi pembeni sio?
hapo inanyeshaga mvua ya barafu snow one time niliendaga kupanda ule mlima unaouona pale as tourist aise niliona hell mpaka mifupa ilikua inauma.πππππππππππππππππππOoh my God that life i want that life i want
Haya ndo maisha nayataka mimi haya maisha nayataka mimi ...
We Seran naomba tuongee vizuri mimi nafikaje huku...
Hata ndani ya mwezi huu nipo tayari kwenda ntakua kila baada ya week natoa feedback maisha yangu mapya kijijini
Ngoja min -me aje kukupa muongozo!πππππππππππππππππππOoh my God that life i want that life i want
Haya ndo maisha nayataka mimi haya maisha nayataka mimi ...
We Seran naomba tuongee vizuri mimi nafikaje huku...
Hata ndani ya mwezi huu nipo tayari kwenda ntakua kila baada ya week natoa feedback maisha yangu mapya kijijini