Husikiagi weweBila kusahau limshangazi pembeni sio?
Mkuuu that life mi ndo nataka..hapo inanyeshaga mvua ya barafu snow one time niliendaga kupanda ule mlima unaouona pale as tourist aise niliona hell mpaka mifupa ilikua inauma.
Now we are talking πYou kill me
Naomba nikutafute unitumie hizi picha kwa gharama yoyote ile nipo tayari
Seran unanichanganya sasa jaribun kuwa na huruma basi..Husikiagi weweView attachment 3553905
Dogo anakunywa Vodka huyo
Naomba umtag mkuuMtafute chima nae ni mtu wa nature
Juisi ya tende na uji wa pili pili mangaDogo anakunywa Vodka huyo
MleviJuisi ya tende na uji wa pili pili manga
πππππππ
Silewi mimiMlevi
Kijijini hakuna vodka dogoSilewi mimi
Mkuu mi sinywi nimeacha mbona ππππππKijijini hakuna vodka dogo
Tia helaaaaaπ΅Sasaampa sasampaa
hivi hicho hapo mwisho ni nn naona kinabaunsi tuπ΅Sasaampa sasampaa
Mufti daki sa ngapi kwanza mana selewi hapa ππππOoh kumbe upo serious
Vipi kijiji cha Makumbusho hakikufai?
Wapo wakulimaSeran unanichanganya sasa jaribun kuwa na huruma basi..
Mbna mnabadili mawazo yangu namna hii
Acheni bana mnanichanganya sijui sasa nibaki au nende.
Hv kijijini kule wamama kama hawa wapo .!?
Nimewaza pia..Dogo anakunywa Vodka huyo