Sina amani ya moyo na maisha ya mjini


Ukiona hivyo ujue umekua.
Watu wazima wengi wako kama wewe.
 
Tunafanana sana na wewe,hivyo nilinunua shamba kijijini wilaya nkasi,kwenye kijiji cha cini na nilijenga nyumba ya tofalinza kuchoma,nikaweka sola wakati huo umeme ulikuwa hakuna,sasa upo huwa naenda nakaa miezi 3 au 4 hivi ni raha sana.Sasa tafuta shamba kwenye kijiji ama kwenye mkoa ulikozaliwa au kwenye mkoa wenye rutba,mvua nzuri na ambapo kuna maji ili uchimbe kisima,jenga nyumba ya vyumba 3 basi uanze kilimo utafutahi
 
Unatumalizia MB zetu bure! Hakuna anayetamani kuishi kijijini halafu hajui cha kufanya.
 
mjini ipi unayoizungumzia au daiselam😆😆😆😆😆.
 
mjini ipi unayoizungumzia au daiselam😆😆😆😆😆
 
Ndugu wamekufanya nini ndugu yetu. Zingatia katika swali langu fupi ndugu imejitokeza mara mbili
 
Kwangu kwenyewe bila AC hutoboi lakini nimeenda mpaka nmeondoka silijui feni wala mbu ni pure oxygen tu inshort nmerestart ubongo wangu
 
Simple tu. Wengi wanapostafu utafutataji wanatamani waishie kwenye maisha kama hayo ya kijijini. Tatizo tu linakuwa uwezo kiuchumi.

Kama umejipata kiuchumi ni rahisi kwako maeneo Tanzania yenye nature ni mengi tena makubwa. Ni uwezo wako tu.

Nakuchagulia kaishi Tukuyu kanunue pembeni ya mto. Utafiti wanaishi tukuyu wanaishi miaka mingi
 
Una umri gani? upo serious kweli? kijijini sio sehemu nzuri ya kuishi, magonjwa, huduma mbovu za kijamii, mzunguko mdogo wa hela na changamoto nyingine kibao, sio sehemu ya kuishi labda ni kwenda kusalimia na kurudi
Huyu mleta mada hata miaka 25 sidhani kama anayo? Ndio maana anajiita poor brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…