Sina cha kuandika. Ila nawashwa kuanzisha uzi JF.

Sina cha kuandika. Ila nawashwa kuanzisha uzi JF.

Kuna muda kama huu nakuwa nawashwa kabisa kuanzisha uzi JF lakini nakuwa sina la maana sana la kuandika kwenye huo uzi.

Hebu wataalamu wa kuanzisha nyuzi nipeni idea hapa, nianzishe uzi wa kuhusu nini.

...!!
Kaulize chat gpt aka bwana artificial intelligence
 
Back
Top Bottom