Na mara nyingi inakuwa uongo.Dunia ya leo kuna vitu ukituhumiwa navyo.....(ushoga, sexual harassment, kukosa uzalendo etc..) huna hata dakika ya kujitetea..wanaokutuhumu ndo wenye mamlaka ya kukuhukumu.
Dunia inakwenda kwa kasi kweli kweli!
Samahani!Unamaanisha nini?Kwamba yule Governor wa Mombasa ana mnaniliu dimpoz.
Anamsimamia kazi zake Mkuu.Samahani!Unamaanisha nini?
Sawa.Anamsimamia kazi zake Mkuu.
Thread za dizaini hii bila ya Warumi hazinogi kabisa
Noma sana!Diamond alivyoibuka na hii kashfa ya Dimpoz kuwa bwabwa nilitegemea Dimpoz angekanusha kwa nguvu zote lkn alipoulizwa aljibu kirahisi tu "akutukanae hakuchagulii tusi'