Sina cha kusema, mambo ni mengi

Sina cha kusema, mambo ni mengi

Dimpo anawakilisha taifa 😁😁😁
 
  • Thanks
Reactions: VSM
Dunia ya leo kuna vitu ukituhumiwa navyo.....(ushoga, sexual harassment, kukosa uzalendo etc..) huna hata dakika ya kujitetea..wanaokutuhumu ndo wenye mamlaka ya kukuhukumu.

Dunia inakwenda kwa kasi kweli kweli!
Na mara nyingi inakuwa uongo.
Ni rahisi sana watu kuamini mambo ya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu ngoja kwanza, hivi anaetajwa hapa ni huyu OMMY DIMPOZ baba yake DIAMOND ama?
 
Diamond alivyoibuka na hii kashfa ya Dimpoz kuwa bwabwa nilitegemea Dimpoz angekanusha kwa nguvu zote lkn alipoulizwa aljibu kirahisi tu "akutukanae hakuchagulii tusi'
 
Dunia nakuomba usimame kituo Cha hapo mbele nishuke
 
Back
Top Bottom