Sina hamu na Mapenzi

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae Tena.

Na siku tukipanga appointment aje geto kabla ya kufika naghairi asije namwambia nimepata dhalula wakuu itakuwa tatizo Nini au Hali ya kawaida tu au nimerogwa inafika hatua mpaka nyumbani Wana wasiwasi na Mimi hawajawahi kuniona na mwanamke

Naomba kuwasilisha🙌🙌
 
Huna hamu na mapenzi na wanawake?😬

Chunga sana hizo hamu zako zitakufikisha papaya. Kuna vitu necrophilia (kulala na maiti), bestiality (kuala na wanyama), incest (kulala na ndugu), homosexuality ( kulala na jinsia moja) etc
 
Una linda
 
Inatokeaga hii kwa mwanamke aliyenisumbua sana. Mm nipo straight forwad huwa sizunguki ss mabinti wanapenda mtu anayezunguka
 
Huna hamu na mapenzi na wanawake?[emoji51]

Chunga sana hizo hamu zako zitakufikisha papaya. Kuna vitu necrophilia (kulala na maiti), bestiality (kuala na wanyama), incest (kulala na ndugu), homosexuality ( kulala na jinsia moja) etc
Ni kulala tyuuh au zaidi ya kulala?

Maana yeye hajasema ana matatizo ya kupata usingizi, ila hamu ya mapenzii. Hebu fafanua zaidi
 
Una jini mahaba, go for spiritual checkup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…