Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
Fact.Mungu anakuepusha na mabarahaaa
Kuhusu kwenu kukufikiria vibaya
15-25 huu umri unakuwa na wasiwasi sanaa watu wanavokuchukulia
26-45 huu umri unakuwa hujali watu wanachuliaje
46 na zaidi utakuja ugundue hakuna hata mtu aliyekuwa anakufikilia
Mind your own business