Sina hamu na MPESA

manyike dede

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
37
Reaction score
19
Leo nimeamka nimechoka sina pesa afu nilikuwa nahitajika mbali kdogo na hapa nilipo. Kwenye mpesa nilikuwa na balance ya sh 11000 hv.
Baada ya kutoa nakuta salio lililo bakia no sh laki 3na 40 duuh sa sijui hapo mtu kawrong kutuma au ofa ya mpesa. Naogopa hata kuitoa. Msaada wenu niifanyaje
 
suburi kwa mda au wapigie voda wakueleze...sio vizuri kama ni ya mtu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…