manyike dede
Member
- Jul 10, 2016
- 37
- 19
Leo nimeamka nimechoka sina pesa afu nilikuwa nahitajika mbali kdogo na hapa nilipo. Kwenye mpesa nilikuwa na balance ya sh 11000 hv.
Baada ya kutoa nakuta salio lililo bakia no sh laki 3na 40 duuh sa sijui hapo mtu kawrong kutuma au ofa ya mpesa. Naogopa hata kuitoa. Msaada wenu niifanyaje