Sina hamu na wadada wa kizungu

Dunia ni kijiji, kama kweli alikuwa Mpenzi wako Lisbon, Ureno kuna umbali gani asikwalike uende kumtembelea ? By the way kwa nini ulimchelewesha hukumpa mimba !!! Vijana wa Arusha huwa hawafanyi makosa kama hayo yako.
 
Dunia ni kijiji, kama kweli alikuwa Mpenzi wako Lisbon, Ureno kuna umbali gani asikwalike uende kumtembelea ? By the way kwa nini ulimchelewesha hukumpa mimba !!! Vijana wa Arusha huwa hawafanyi makosa kama hayo yako.
Ntafanyia kazi ushauri wako
 
Yeye alikuwa anakutumia tu wakati yupo bongo shukuru walau amekuachia mtaji. Ukapime na ukimwi tu pengine hizo ndo zake, huko Ureno tayari keshapata jamaa mwingine.
Sina ngoma bwana
 
Naomba kama kuna mzungu mwingine hapo unipe namba yake mm huwa nawapenda sana maana mademu wa kizungu kwanza wana nauli na sio dependant kama mademu wa kibongo
 
Hi story ni chai wakongwe wenye intelijensia na kuona kwa jicho la tatu tumeshagundua
 
Hivi humu hayupo Mzee wa Tabora akufyekelee mbaliiii.....

So what baada ya stori yako!?
 
Bora yawazungu muraa, wabongo wakipata safari au wakitaka kukuacha watakusafisha geto Zima yaani wanahakikisha unaanza upya kabisa
 
Comment ya ukweli sana hii [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hizo nguo nimeweka oda ya robota 5, nakuja kuchukua mzigo wadau wa kariakoo wapendeze.
 
Nasikia papuchi za kizungu za baridi, VIP ya huyo ilikuwa ya moto mpaka imekudatisha?
 
Hawa wageni wanaokuja kufanya kazi nchini kwetu kwa mikataba asilimia kubwa ni majanga,wanaanzisha mahusiano na mtu ghafla anakuacha solemba hasa kwa sisi wanawake ndio tunapata madhara makubwa anakutia mimba kunauwezekano akakukimbia akakuachia mzigo wake au ukafanikiwa ukajifungua siku si siku anasema anakuachia jukumu la mtoto pekee ako,kuna wanawake wapo wamezalishwa na wachina,wahindi nk wanalea pekee yao hata haelewa pakumtafutia baba mtoto,ww shukuru kuzaliwa mwanaume angekuachia mimba au mtoto ulee pekee ako,ila sijui kwann hawa watu wanakuwa wanamapenzi ya kweli na ya dhati sanaaa
 
Aiseeeee hii jf ina mambo yaani umeachiwa mali kibao eti unaumia hadi gari au kuna mtu unamtafuta humu kiaina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…