Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasemaga wazungu wanapapuchi za barid ...VIP mzungu wako!!?Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Husicheze na wazungu wewe yaani alikuwa careful kinomaUlipaswa useme mdada wa kizungu,siyo wadada. Sasa ulishindwa kumfanyia Jaza ujazwe mapema?!
Hujui kitu kaa kimyaSasa gari utatransfer vipi ownership bila yy kuwepo...nahis chai haijakolea sukari
HaaaaaaaUkisoma commet za Huku ndio utajua kua wabongo tuna njaa kiasi gani
Nimecheka ad nmekunyaa.....et ukampe mkeoPole sana mkuu. Ila mwana kinachoniboa madem wa kizungu ni nywele aisee. Yani mkikaa geto nywele kwenye sinki, kapeti, mdomoni , kitandani dah. Umenikumbusha mbali sana chief.
Ndio nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfuate huko kwa vasco da gama kama unampenda sana...mfyuuuuuu!!!
Ivi watanzania mnanin lakin!!? Ha ha haHongera kwa kazi nzuri kuhongwa mpaka gari, hakika umetuzidi mpaka dada zako, kama ameacha na hela nitumie na mimi.
Chura Kama lotevipi alikuwa na FLAT SCREEN au HITACHI ????
Kama unataka naweza kukutumia pmWeka Picha kama sio Chai
Baby miss youMama hauvipendi mwachie baba mwenye nyumba mkuu
CoolHii ndiyo shida ya boys/wavulana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujui kitu kaa kimya
Uongo tuWanasemaga wazungu wanapapuchi za barid ...VIP mzungu wako!!?
Kwa experience yako n kwel au uongo?
Msahau kwanza mdada wa kizungu halafu ukuje kunimiss sasaBaby miss you
we jamaa umejua kunichekesha mamaee[emoji16][emoji16]Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Haaaaaaa shunie jamaniMsahau kwanza mdada wa kizungu halafu ukuje kunimiss sasa
Najua kaacha viatu pair kibao, mie nigawie viatu tuAta sio chai ni ukweli mtupu
KaribuNajua kaacha viatu pair kibao, mie nigawie viatu tu
Nilitegemea kukutana na koment kama hii.!Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?