amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Kwani hukujua kuwa ataondoka siku moja? unaweza kumfata aliko ila pia ni heri ukalia kwenye range kuliko kwenye baiskeli, washa mkoko ulioachiwa ukapunga upepo beachDada sijapenda comment yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hukujua kuwa ataondoka siku moja? unaweza kumfata aliko ila pia ni heri ukalia kwenye range kuliko kwenye baiskeli, washa mkoko ulioachiwa ukapunga upepo beachDada sijapenda comment yako
akikujibu nitagBraza kama una mpango wa kuzitupa au huna kazi nazo Naomba nije kuchukua hizo nguo za mzungu nimpatie mke wangu
Alihaidi kukuoa na kukupa maisha mazuri nini?Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Tatizo la kupenda bila akiba...! Hata mm ningetabasamu... Ningesahau ningemtafuta ngalandefu tukalishongeza.Hapa kuna watu wangetabasamu tu
Izo nguo si unigeie jamani nianzishe biashara ya mtumba na ivi zinajaa lory ujue huo ni mtajiSitaki nguo zake
Ha haaa.. We jamaa bhana..siyo kwamba ameachiwa ili Hzo nguo atumie kuwaonga mademu zake wapyaSasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
HahahaSasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Hapana. Avae tu apendeze aache kulalamikaHa haaa.. We jamaa bhana..siyo kwamba ameachiwa ili Hzo nguo atumie kuwaonga mademu zake wapya
Tufafanulie sisi tunaokula akina Asha ngedele..Pole sana mkuu. Ila mwana kinachoniboa madem wa kizungu ni nywele aisee. Yani mkikaa geto nywele kwenye sinki, kapeti, mdomoni , kitandani dah. Umenikumbusha mbali sana chief.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bongo nyosoSasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Hahahahaha daaaHongera kwa kazi nzuri kuhongwa mpaka gari, hakika umetuzidi mpaka dada zako, kama ameacha na hela nitumie na mimi.
Jaribu kuwapa hizo nguo hata masikini.Sitaki nguo zake
Mkuu mi nahitaji hiyo computer na fridge kama unaviuza nitafuteWakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Haaaaaa ayakwani hukujua kuwa ataondoka nchini siku moja? unaweza kumfata pia
Huku kwetu kuna msemo ni heri kulia kwenye range kuliko kwenye baiskeli, jifute machozi washa mkoko ulioachiwa nenda ukabarizi upepo beach bwana.
Sitaki nauli ya mtukwa hivyo vipi tukusaidie kupata VISA uibuke Ureno au tukuchangie nauli !!?