MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Yello masai umenichekesha tukisema wanaume wa Dar wanakuja juu.Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yello masai umenichekesha tukisema wanaume wa Dar wanakuja juu.Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Jamani hamuogopi chawa wa kizungu??? Na mbona kila mtu anaomba nguo tu hamuombi gari maana mtoa mada kasema alikuwa hataki alivyoachiwa bali alikuwa anamuhitaji mwanamke tu.🙂🙂🙂🙂Naomba nguo kidogo
Hebu muulize wewe mkuu. Au jamaa alitaka na yeye aende Ureno? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Jamani hamuogopi chawa wa kizungu??? Na mbona kila mtu anaomba nguo tu hamuombi gari maana mtoa mada kasema alikuwa hataki alivyoachiwa bali alikuwa anamuhitaji mwanamke tu.🙂🙂🙂🙂
Hizo nguo mtasubiri sana hadi awape huyo.Ha ha ha
Hao chawa tutawaua kwa sabuni na pasi.
Gari huyu hawezi kutoa, nguo kwakuwa ni za kike halafu kasema zinajaa Lori sasa akigawa japo kidogo kwa Kila atakaye zitatosha.
Hizo nguo mtasubiri sana hadi awape huyo.
Bro usinisahau na mimi hapo nagongea kwenye mgao japo nimedandia tren kwa mbele lkn husema kidhuriii kula na wenzako. Kuhusu kama bado unampenda sana njoo Tanga, Sumbawanga, Tarime huwa kuna huduma ya kumvuta mpenzi alie mbali ila sijajua kama mzungu analogeka au mizimu haitambui wazunguNguo zooote naweza kukupa
Nywele wanawake wote wanazo, tena bora ule za mzungu zinaoshwa kila siku, sio hizi za kina Asha tingisha au Mwajuma tentemete kuoshwa mara moja kila baada ya miezi mitatu.Pole sana mkuu. Ila mwana kinachoniboa madem wa kizungu ni nywele aisee. Yani mkikaa geto nywele kwenye sinki, kapeti, mdomoni , kitandani dah. Umenikumbusha mbali sana chief.
Acha izoWadada hiyo ni fursa
Wapo ila wanawatu waoNaomba kama kuna mzungu mwingine hapo unipe namba yake mm huwa nawapenda sana maana mademu wa kizungu kwanza wana nauli na sio dependant kama mademu wa kibongo
Endelea na intelijensia yakoHi story ni chai wakongwe wenye intelijensia na kuona kwa jicho la tatu tumeshagundua
Husipaniki bambana na hali yakoHivi humu hayupo Mzee wa Tabora akufyekelee mbaliiii.....
So what baada ya stori yako!?