Sina hamu ya kufanya mapenzi

Wrong Mr

Member
Joined
Jul 22, 2017
Posts
91
Reaction score
78
Wasalaam ndugu,

Naamini niko na afya njema kabisa.

Ngoja nianze hivi, ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabisa mwilini.

Mwanzo niliona kawaida ila sasa naona litakua ni tatizo mana inafika kipindi hata mnara hausomi kabisa hata kidogo.

Nilijifikiria labda ni kwasababu sina mpenzi ila juzi niliamua kwenda club nikaomba kucheza na mdada mmoja ambae najua atanistimulate.

Lakini pamoja na hayo yote mnara uligoma kushika mawimbi nimejiuliza sana tatizo nini ila nimeshindwa pata jibu."Mganga hajigangi"

Naombeni uchambuzi kuhusu hili.

"Dare to talk openly"
 
Inawezekana unatatizo la kiafya kama homa au unafululiza sana kupiga puli
kula maparachichi na ndizi n
 
Hv mwanaume unasubutu kusema
Huna ham ya kusex hyo inakuja kweli
 


Mwanamme wa Dar sikia hili litakusadia.....kwanza kabisa, kucheza muziki na mwanamke hakufanyi mnara usimame ama kushika mawimbi, hizi ni hisia potofu za wanaume tata wa Dar, ondoa kabisa wazo hili kichwani mwako, unatuhaibisha wenzio. Pili, umepima sukari hivi karibuni? Sukari inafanya mtu kukosa stimu ya kufanya mapenzi na kufanya mnara ushike kutu, hivyo kukosa kushika mawimbi ipasavyo. Kubwa zaidi kwenu nyie wanaume wa Dar ni usanii umewatawala sana kwa kila mlifanyalo, utakuta mwanamme shoga ila kaoa. Ukimuona huko mitaani utahisi ni lijali kweli kumbe, lahasha...!
 
Unahitaji hamu ya nini wakati hata mke huna? Kifupi hauna tatizo lolote kabisa hofu yako tu huwezi kuwa na hamu ya tendo la ndoa wakati wote na wakati huna ndoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…