Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi akili ya kutamka hivo kwa mwanaume aliyekuomba ushauri unaitoa wapi? Kweli Watanzania ndo sisi kweli? Angekuwa ni Mdogo wako ungemjibu hivyo kweli au ungemshauri aende hospitali? Aisee brother umekosea sana.Hamu ya kufanya huna, ya kufanywa je!?
Piga puliWasalaam ndugu..
Naamini nko na afya njema kabsa. Ngoja nianze hivi..ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabsa mwilini..mwanzo niliona kawaida ila sasa naona litakua ni tatizo mana inafika kipindi hata mnara hausomi kabsa hata kidogo..nilijifikiria labda ni kwa sababu sina mpenzi..ila juzi nliamua kwenda club nikaomba kucheza na mdada mmoja ambae najua atani stimulate..lakini pamoja na hayo yote mnara uligoma kushika mawimbi..nimejiuliza sana tatizo nini ila nimeshindwa pata jibu.."Mganga hajigangi" naombeni uchambuzi kuhusu hili..
"Dare to talk openly"
Hivi akili ya kutamka hivo kwa mwanaume aliyekuomba ushauri unaitoa wapi? Kweli Watanzania ndo sisi kweli? Angekuwa ni Mdogo wako ungemjibu hivyo kweli au ungemshauri aende hospitali? Aisee brother umekosea sana.
Yan miaka 21 unaangiaka na matatzo ya uzazi? Aisee pole sana!!Nina miak 21 sas..nmeshndw kufaham tatiz ni nn
Si kweli mkuu ukiwa mwanchama chaputa eti ndo mnara usisome aaa wap mi ninavyojua PULi yenyewe huweka sugu kwenye kichwa cha uume hivyo kupelekea tatizo linaloitwa (delayed ejaculation) au kuchelewa kumwaga na pia huongeza uume kwa inchi moja hadi moja na nusu ( ni sawa na zoezi la JELQING)Je ww ni mwanachama wa CHAPUTA!??
Hayo ni maoni yako, nimeuliza swali jibu linatakiwa liwe ndio au hapana! Mbona ngonjera nyingi? Ok
Hamu ya kufanya huna, ya kufanywa je!?
Miaka 40 inahusu nn hapa ndio kilele cha matamanio huwezi kukaa 3 days bila kupiga goti ww unatatizokama una miaka zaidi ya 40 ni kawaida, ila kama upo chini ya 40 basi utakuwa na matatizo