Sina hamu ya kufanya mapenzi

Piga puli
 
Hivi akili ya kutamka hivo kwa mwanaume aliyekuomba ushauri unaitoa wapi? Kweli Watanzania ndo sisi kweli? Angekuwa ni Mdogo wako ungemjibu hivyo kweli au ungemshauri aende hospitali? Aisee brother umekosea sana.

Hayo ni maoni yako, nimeuliza swali jibu linatakiwa liwe ndio au hapana! Mbona ngonjera nyingi?
 
Je ww ni mwanachama wa CHAPUTA!??
Si kweli mkuu ukiwa mwanchama chaputa eti ndo mnara usisome aaa wap mi ninavyojua PULi yenyewe huweka sugu kwenye kichwa cha uume hivyo kupelekea tatizo linaloitwa (delayed ejaculation) au kuchelewa kumwaga na pia huongeza uume kwa inchi moja hadi moja na nusu ( ni sawa na zoezi la JELQING)
 
fanya jaribio hili sasa.... nenda na demu gesti kabisa... ukiona mnara umeshindwa kusoma kabisa na hapo ujue kuna kitu hakipo sawa..!!!
 
hili ni tatizo la kawaida sana kama una stress(hata mimi hunitokeaga sana)lisikuumize kichwa litaisha tu..ila inaonekana unapenda ngono sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…