Sina hamu ya mapenzi na uume wangu hausimami asubuhi

Sina hamu ya mapenzi na uume wangu hausimami asubuhi

Unapata choo vizuri kama kawaida? Je kuhusu namna ya kuhimili mkojo? Miguu haina nguvu kama zamani?

tragedy of the commons

Nahimili mkojo, lakin kuhusu nguvu kwenye miguu kunawakati niliishiwa nguvvu kwenye miguu nikaanguka chini nikawa siwezi kusimama, na mgongo ulikua unamaumivu but nilitibiwa na nikapona, but baada ya kupona ndo hayo mambo yamenianza, natena ninatatizo la kuto hisi njaa na kutofeel uchovu, ila kubwa ni hilo la kutofeel hamu ya mapenzi, guys ninashida sio masihala!!
 
jaribu kuonana na daktari kwa ushauri zaidi
 
Tumia viagra utapona
Mkuu Ilisolokobwe mbona unampa ushauri mbaya wa kutumia Viagra? unajuwa Madhara ya kutumia viagra? ukisha acha kutumia viagra uume wako hautasimama tena uume wako.

habari wana jf mim nikijana wa kiume, ebwana nimekumbwa na tatizo la kutokua na hamu ya kukutana kimwili na mwanamke, before sikua nalo hili tatizo, ila kwasasa ninatatizo hilo kiasi kwamba naogopa hata kukutana na mpenzi wangu, lakini pia katika maisha yangu nilisha wahi kupiga punyeto kabla ya kua na huyu binti, lakin pia kama miezi mitatu iliyopita niliugua uti wa mgongo, but nimepona na tangu nilipo pona nimetokewa na hili tatizo la kutokua na hamu ya mapenzi, lakin pia nina tatizo lingine lakuto kuona my morning wood (uume wangu hausimami asubuh) so please naombeni msaada wa tatizo langu, ninashida ndugu zangu.
Mkuu new generation kutokana na kupiga kwako Punyeto una matatizo ya Upungufu wa nguvu zako za kiume ndio maana unapoamka asubuhi pia uume wako huwa hausimami kwa huo upungufu wanguvu za kiume ukitaka dawa ya kuongeza Nguvu zako za kiume kurudisha kama mwanzo mimi ninazo Dawa za Tiba Mbadala Mitishamba hebu tembelea hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Pia waweza kuwasiliana na mimi kwa njia ya barua ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.om
 
Last edited by a moderator:
inamaana punyeto inaweza sababisha hata hamu ya mapenz kuisha?
 
Mkuu Ilisolokobwe mbona unampa ushauri mbaya wa kutumia Viagra? unajuwa Madhara ya kutumia viagra? ukisha acha kutumia viagra uume wako hautasimama tena uume wako.

Mkuu new generation kutokana na kupiga kwako Punyeto una matatizo ya Upungufu wa nguvu zako za kiume ndio maana unapoamka asubuhi pia uume wako huwa hausimami kwa huo upungufu wanguvu za kiume ukitaka dawa ya kuongeza Nguvu zako za kiume kurudisha kama mwanzo mimi ninazo Dawa za Tiba Mbadala Mitishamba hebu tembelea hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Pia waweza kuwasiliana na mimi kwa njia ya barua ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.om



inamaana punyeto inaweza sababisha hata hamu ya mapenz kuisha?
 



na mimi ndivyo ninavyo dhani .. inawezekana tayari you have ur own diagnosis .. try to relax ! kuna usemi "sometimes distance is the best medicine"

nenda kijijini au mbali na mjini sehemu ambayo unaweza uka relax ukawa bila mawazo yoyote ... " pombe sio solution maana waweza ukasema njiw wa jf kasema relax basi pombe itanisaidia BIG NO"

nakumbuka we had a psycho case jamaa ambaye aliwahi kumfumania mkewe... toka siku hiyo jamaa akapatwa na tatizo kama lako ..




kweli, ila kwa kuongezea, hata afya mbaya huchangia udhaif kweenye hamu ya tendo

ale vizuri, apumzike, achape tizi na kuondoa msongo wa mawazo
 
inamaana punyeto inaweza sababisha hata hamu ya mapenz kuisha?
Mkuu new generation Kwani wewe hujuwi kuwa punyeto ina Madhara makubwa kwa Mwanamme?

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION)


Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.

Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.

Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto” in English "Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:



  1. Upungufu wa nguvu za kiume.

Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.



  1. Kutofurahia tendo la ndoa.

Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.



  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.



  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.

thinking_IQ.jpg



  1. Kukosa nguvu katika magoti.

Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:



  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.

learning_busy.jpg





  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.



running_exercise.jpg





  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.



think_love.jpg





  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.



too_much_eating.jpg





  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.



sleeping.jpg





  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.


Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).

Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.

original from: MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) - AFYA <!--if()-->- <!--endif--> - Publisher - Staryte



https://www.jamiiforums.com/mahusia...e-kuna-faida-au-hasara-ya-kupiga-punyeto.html
 
Last edited by a moderator:
Jaman pole sana kaka,,...usijali utapona,,...kaka Kaizer kuja huku tafadhal

Afadhali Marnah umempa moyo huyu kijana,

Nionavyo mimi, ana msongo wa mawazo nadhani uliotokoana na kuugua uti wa mgongo, so ningemshauri maadam ameshapona basi wala asiwazie sana hiyo hali ya kutokuwa erect asubuhi.

Sina hakika kama hospitali wamemwambia nini lakini wangepima tu testosterone levels wakampa majibu ya uhakika....counseling sawa ila je walishaeliminate medical conditions?

Pole sana ila utakuwa sawa. Usiwaze kukutana na mpenzi wako kwa sasa maana itaongeza ukubwa wa tatizo, potezea fanya kazi zako za kawaida kula vizuri na pumzika (assuming hakuna tatizo jingine)
 
Last edited by a moderator:
inamaana punyeto inaweza sababisha hata hamu ya mapenz kuisha?

kijana new generation.......naomba niseme hapa kwamba hayo madhara ya kupiga punyeto yanayosemwa hapa yako over exaggerated. Utatishika bure. kwa maelezo yako ni kwamba uliwahi kupiga punyeto ambayo ni kawaida kwa wanaume zaidi ya 80%. Ingekuwa hivyo ina maana wanaume wote wangekuwa na tatizo kama lako!

kabla ya kununua dawa yoyote au kutumia, fuata ushauri wa kawaida wa kupumzika, kula vizuri, na kufanya mazoezi. Hivyo vitakusahaulisha hofu uliyo nayo ambayo nahisi ilitokana na kuugua meningitis. Kabla ya hapo si umesema ulikuwa na mpenzi wako, ulikuwa na tatizo?
 
Last edited by a moderator:
mkuu hlo la uti wa mgongo linanihusu sana
mi nahic mgongo kukaza mpaka nyuma ya bega na nyuma ya shingo!
nitakupm
 
inamaana punyeto inaweza sababisha hata hamu ya mapenz kuisha?

labda ka mwalimu wangu alinidanganya..alisema punyeto kamwe haina madhala...izo sperms zinakua generated in millions so inabidi uzipunguze...madhara ya punyeto inategemea kama unapiga lkavu kavu unaishia kuchubua mishipa flan flan..#nimesahau inaitwaje ja#
 
Pole new generation,

Tiba sahihi utaipata kutoka kwa madaktari wataalamu. Cha kufanya nenda hospital, ongea na daktari kwa uwazi zaidi. Utapata tiba sitahiki. Ona waweza pimwa kiasi cha homones na kupewa matibabu. kama uko DSm basi nenda MNH, kama uko mkoa basi nenda hospital za mikoa. Kama unahitaji maelezo zaidi basi niPM. Nna amini utapona tu!!

Mudushi



habari wana jf mim nikijana wa kiume, ebwana nimekumbwa na tatizo la kutokua na hamu ya kukutana kimwili na mwanamke, before sikua nalo hili tatizo, ila kwasasa ninatatizo hilo kiasi kwamba naogopa hata kukutana na mpenzi wangu, lakini pia katika maisha yangu nilisha wahi kupiga punyeto kabla ya kua na huyu binti, lakin pia kama miezi mitatu iliyopita niliugua uti wa mgongo, but nimepona na tangu nilipo pona nimetokewa na hili tatizo la kutokua na hamu ya mapenzi, lakin pia nina tatizo lingine lakuto kuona my morning wood (uume wangu hausimami asubuh) so please naombeni msaada wa tatizo langu, ninashida ndugu zangu.
 
mkuu kama umeumwa mgongo ,i mean meningitis,basi tatizo lipo kwenye testosterone hormone ipo low sana,cha kufanya piga tizi la kutosha ili kurudisha hyo hormone,au google tips for increasing testosterone utapata majibu mkuu,usiwe na stress coz stress inazalisha serotonin ambayo ina decrease testo,so kama unaona mawazo sana kula karanga inasaidia kurelease serotonin in blood,utakuwa poa mkuu,
 
Hata mm nilitaka kuomba ushauri huo.Tuko wengi usihofu ndugu. Nadhani umepunguza matatizo na risk
 
mimi nakupa ushauri mdogo kata kitunguu maji vipande viwili au vitatu (yaani kama unatengeneza kachumbari) than tafuna halafu jiangalia ukiamka kama, ikiwa umeamka umesima basi unahitaji dawa za kukaza mishipa ya uume la kama haujasimama sina msaada ila ukipata dawa usiache kunijulisha kwa sababu wako wengi huku wanaomatatizo kama ayo
 
nenda gym,has mida ya jioni ukilala na kupumzika vya kutosha, nahop asubuhi utakuta morning wood. pia Acha hofu na mawazo uliyojwekea ya hofu baada ya kuugua. Hofu inadhohofisha uwezo wa simba asiweze kunguruma msituni. that's my take.
 
Thank guys for yo concern on my problem! But I thank God Almighty!! Now am OK! I have restored back my manhood as I used to be way back!
 
Back
Top Bottom