sina hamu ya mapenzi

sina hamu ya mapenzi

habari wana jf mim nikijana wa kiume, ebwana nimekumbwa na tatizo la kutokua na hamu ya kukutana kimwili na mwanamke, before sikua nalo hili tatizo, ila kwasasa ninatatizo hilo kiasi kwamba naogopa hata kukutana na mpenzi wangu, lakini pia katika maisha yangu nilisha wahi kupiga punyeto kabla ya kua na huyu binti, lakin pia kama miezi mitatu iliyopita niliugua uti wa mgongo, but nimepona na tangu nilipo pona nimetokewa na hili tatizo la kutokua na hamu ya mapenzi, lakin pia nina tatizo lingine lakuto kuona my morning wood (uume wangu hausimami asubuh) so please naombeni msaada wa tatizo langu, ninashida ndugu zangu.
Unatumia dawa yoyote?
 
pole sana, kwani kabla ya hapo ulikuwa unapataje hamu ya mapenzi? ( yaani nini tofauti yake na leo). Je ulikuwa kila ukiamka mdudu yuko juu, was it daily? je umekuwa na mpz wako imekatakaa kusimama? Nyeto umeacha lini? baada kujibu ndo tutaanzia hapo, pengine unjushuku!!
SP
 
Leo tafuta muumini (demu) umfanyie mazoezi. Huenda ni utulivu tu ww unadhani huna hamu
 
mkuu kama ulipata tatizo la uti wa mgongo basi kuna probability kubwa kwamba ndio itakuwa chanzo maana kusimama kwa mashine kunasababishwa na parasympathetic innervation zinazotoka kwenye uti wa mgongo..
 
Back
Top Bottom