Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Pole sana!tumia blackwidow.Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.
Hilo tatizo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya njia za uzazi wa mpango kama vile tabs, sindano. Zimeathiri mfumo wa uzalishaji homoni za wewe kujisikia hamu ya kugegedwa.Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.
Situmii mkuuHilo tatizo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya njia za uzazi wa mpango kama vile tabs, sindano. Zimeathiri mfumo wa uzalishaji homoni za wewe kujisikia hamu ya kugegedwa.
Kwa tiba zaidi njoo pm, wengi nimewasaidia na sasa wanafurahia mgegedo kiroho safi
Vipi yule mtoto saa hivi ukimtekenya anacheka?Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.
Ubarikiwe sana doctorSexual feelings involve mind and physical health.
Nadhani aliemzalisha kamwacha"JAPO HAUNA MTU"
HapanaVipi yule mtoto saa hivi ukimtekenya anacheka?
Yule mtoto ulimpatajeSina hamu hata ya muhenga sembuse vibenten vinuka boxer?
Pole jitahidi uwe unamwekea mdoli acheze nao akizoea ataanza kuchekaHapana
Unataka kusema anaingiza huko gunziKuna mchezo wa hatari unaucheza wakati wa period
Unaweza kuwa sahihi.Hilo tatizo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya njia za uzazi wa mpango kama vile tabs, sindano. Zimeathiri mfumo wa uzalishaji homoni za wewe kujisikia hamu ya kugegedwa.
Kwa tiba zaidi njoo pm, wengi nimewasaidia na sasa wanafurahia mgegedo kiroho safi
Njoo nikupe dawaAu Nina stress eeh? But why nikiwa period nakuwa high?
Nimemuacha Mimi.nilitaka mbegu tuNadhani aliemzalisha kamwacha
Tobaaa...Nimemuacha Mimi.nilitaka mbegu tu