Sina hamu ya tendo la ndoa

Sina hamu ya tendo la ndoa

Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.
Hilo tatizo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya njia za uzazi wa mpango kama vile tabs, sindano. Zimeathiri mfumo wa uzalishaji homoni za wewe kujisikia hamu ya kugegedwa.

Kwa tiba zaidi njoo pm, wengi nimewasaidia na sasa wanafurahia mgegedo kiroho safi
 
Sana utakuwa unamzunguko mfupi na unaoata ovulation ukiwa kwenye siku zako
 
Hilo tatizo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya njia za uzazi wa mpango kama vile tabs, sindano. Zimeathiri mfumo wa uzalishaji homoni za wewe kujisikia hamu ya kugegedwa.

Kwa tiba zaidi njoo pm, wengi nimewasaidia na sasa wanafurahia mgegedo kiroho safi
Situmii mkuu
 
Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.
Vipi yule mtoto saa hivi ukimtekenya anacheka?
 
Hilo tatizo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya njia za uzazi wa mpango kama vile tabs, sindano. Zimeathiri mfumo wa uzalishaji homoni za wewe kujisikia hamu ya kugegedwa.

Kwa tiba zaidi njoo pm, wengi nimewasaidia na sasa wanafurahia mgegedo kiroho safi
Unaweza kuwa sahihi.
Hasa zile dawa za kijiti kuna wanawake wengine zinawapotezea kabisa hashiki ya kujamiiana.
 
Back
Top Bottom