Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Game saa ngapi?
 
Yanga huwa inashinda kipindi cha kwanza. Wasiposhinda ujue kipindi cha pili lazima wapigwe
 
Kwa timu IPi mliyonayo ya kuifunga Zanaco,,

Vile vizee vyenu vinacheza dk 45 tu za kwanza kipindi cha pili vibabu vyenu Pumzi huwa inakata .
 
Hawa vyura fc bado hawajapata goli??
 
Mechi si bado haijaanza?? Haya mauza unga yameukimbia Uzi wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…