Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Niwaambie tu Mashabiki wa Yanga kuwa ondoeni hofu, leo ni siku ambayo
itakuwa chungu kwa Wazambia hao kwani watabanduliwa kwenye michuano
kwa idadi nzuri tu ya magoli.

Kama hiyo mechi itarushwa nawaambia hata wale wenye Presha waitazame
leo ni siku ya furaha kwelikweli.
Game saa ngapi?
 
Yanga huwa inashinda kipindi cha kwanza. Wasiposhinda ujue kipindi cha pili lazima wapigwe
 
Kwa timu IPi mliyonayo ya kuifunga Zanaco,,

Vile vizee vyenu vinacheza dk 45 tu za kwanza kipindi cha pili vibabu vyenu Pumzi huwa inakata .
 
Mechi si bado haijaanza?? Haya mauza unga yameukimbia Uzi wao!
 
Back
Top Bottom