Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Leo Timu Yetu Ya Zanaco Tunamfunga Yeboyebo Bila Ya Wasiwasi Wowote.... Kama Naziona 3 - Bashite .....
 
Ni ngumu kama ilivyo ngumu kumzuia Tundu Antipas Lissu kuwa Rais wa TLS
 
Hii mechi haioneshwi na channel yoyote ya hapa nyumbani?
 
Yanga - kikosi 1.Dida 2. Hassan Kessy 3.Haji Mwinyi 4.Vicent Bossou 5.Kevin Yondani 6.Zulu 7.Msuva 8.Kamusoko 9.Chirwa
10.Niyonzima 11.Mwashiuya
 
Back
Top Bottom