Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Niwaambie tu Mashabiki wa Yanga kuwa ondoeni hofu, leo ni siku ambayo
itakuwa chungu kwa Wazambia hao kwani watabanduliwa kwenye michuano
kwa idadi nzuri tu ya magoli.

Kama hiyo mechi itarushwa nawaambia hata wale wenye Presha waitazame
leo ni siku ya furaha kwelikweli.

Muwe mnaangalia na Timu za kuzipigia upatu tafadhali.
 
Hongera Timu Yangu Ya ZANACO kwa Kuwarudisha Madimbwini Kwao Hawa Vyura FC...
 
Leo utaishangaa Yanga, pia utaiogopa

Upo Sahihi! Leo Nimeishangaa Kweli YeboYebo FC Kwa Kujiita Wakimataifa Wa Kugawa Uroda Kwa Wageni Kama Alivyofanya Kwa Kidume Zanaco Kumuachia Utamu Aendelee Na Safari...
 
Upo Sahihi! Leo Nimeishangaa Kweli YeboYebo FC Kwa Kujiita Wakimataifa Wa Kugawa Uroda Kwa Wageni Kama Alivyofanya Kwa Kidume Zanaco Kumuachia Utamu Aendelee Na Safari...
Wapi wewe, bila shaka umehofu maana kumdindia bingwa wa zambia si mchezo?
 
Back
Top Bottom