Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Nataka CHADEMA waishi maisha ya taabu shida na misukosuko .Hawa hawajui approach ya siasa so watajuana wenyewe Kwa wenyewe
My Take
Mimi sinag huruma na mwanasiasa yeyote mkiuana mtajuana wenyewe labda tuu niwe na huruma kama binadamu ikiwaa tuu aligusa maisha yangu.
Ila Chadomo wamezidi na hawanaga adabu