Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.

Fei alikuwa ana offer more than Aziz Ki au huyo mabangi Morrison ambaye hata game hachezi consistent huku akiwapiga pesa Simba na Yanga kijinga sana. Kisinda hopeless Kabisa lakini nae anakula salary zaidi Fei.

kama Rais wa Klabu na kama angekuwa ni well brained for the country interest; he should have seen kuwa kuna haja ya kumpromote Salum na kufanya amendement kwenye mkataba kwa kuwa kiwango chake kimepanda regardless ya life span ya mkataba.

Hii ingeonesha uzalendo na ku promote vipaji vya ndani hasa ukizingatia wengi wanakuwa watoto na hawana exposure wala wasimamizi. They need to learn na kuwa guided.

Kukosa exposure na mental strength kwa hawa wachezaji wa ndani wenye uwezo isiwe sababu ya ku take advantage.

Ni Ujambazi na Umafia wa hali ya juu uliyofanywa na Rais wa Yanga dhidi ya kipaji cha ndani, na hakika ungeendelea kujitia much know, nadhani mogadishu ulikuwa unaichungulia in a very serious note.

Ifike mahali TFF wachaguliwe viongozi wenye THINKING, tumejaza mautumbo utumbo na mabogus hapo TFF, ni lazima TFF itafute namna bora ya kupromote na ku protect mikataba na Maslahi ya wachezaji wa ndani kwa kuwa huu ndjo msingi wa kuwa na timu bora ya Taifa.

Ni aibu kwa TFF na Yanga suala kama la Fei kuamuliwa na Rais wa JMT, kuna haja ya kufanya maboresho kwenye uongozi wa TFF.

TFF mna homework, mnatakiwa kutengeneza mfumo imara kwa wazawa na kuhakikisha mikataba yao ina clause ya kuwaweka huru au kufanya amendement ya posho zao kulingana na kiwango chake cha sasa na anacho Offer kwenye timu badala ya kufanya kazi kama robot eti nasimamia misingi ya mkataba.

Mkataba aliandika Mungu huo!

Nchi za kiarabu wanatoa vipaji vingi na wana good National Team kwa sababu ya uzawa, there is a very clear line kati ya wazawa na wageni na linapokuja suala la uzawa. Tunaweka utaifa mbele na hii sera ndio ina build mpira kwenye nchi za wenzetu.

Kipaji cha Fei unakiweka nje almost 6 months eti nasimamia misingi ya taasisi. Absurd Kabisa, unakosaje consensus na mchezaji mzawa, huku unamlipa Morrison over 15M, Aziz Ki Over 20M, Fei 4M eti alisaini mwenyewe seriously?

What do they really offer to the club? as compared to Fei?

Fei ananidhamu, kipaji, sio mlevi , ana fundishika and the most important, he has great future in his career path.

La mwisho lakini ambalo sio la mwisho Kabisa, TFF tunawapa ONYO na hii ni RISALA kwenu kaeni chini mtengeneze robust system ambayo itapromote vipaji vya ndani pamoja na kurahisisha ammendement kwa wachezaji wa ndani ambao viwango vimekuwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba ya wachezaji wa ndani sio kandamiza just because wachezaji wetu hawana exposure na wasimamizi.

Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period

Megalodon.
 
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.

Fei alikuwa ana offer more than Aziz Ki au huyo mabangi Morrison ambaye hata game hachezi consistent huku akiwapiga pesa Simba na Yanga kijinga sana. Kisinda hopeless Kabisa lakini nae anakula salary zaidi Fei.

kama Rais wa Klabu na kama angekuwa ni well brained for the country interest; he should have seen kuwa kuna haja ya kumpromote Salum na kufanya amendement kwenye mkataba kwa kuwa kiwango chake kimepanda regardless ya life span ya mkataba.

Hii ingeonesha uzalendo na ku promote vipaji vya ndani hasa ukizingatia wengi wanakuwa watoto na hawana exposure wala wasimamizi. They need to learn na kuwa guided ;

kukosa exposure na mental strength kwa hawa wachezaji wa ndani wenye uwezo isiwe sababu ya ku take advantage.

Ni Ujambazi na Umafia wa hali ya juu uliyofanywa na Rais wa Yanga dhidi ya kipaji cha ndani; na hakika ungeendelea kujitia much know ....... nadhan mogadishu ulikuwa unaichungulia in a very serious note.

Ifike mahali TFF wachaguliwe viongozi wenye THINKING; tumejaza mautumbo utumbo na mabogus hapo TFF ; ni lazima TFF itafute namna bora ya kupromote na ku protect mikataba na Maslahi ya wachezaji wa ndani kwa kuwa huu ndjo msingi wa kuwa na timu bora ya Taifa.

Ni aibu kwa TFF na Yanga suala kama la Fei kuamuliwa na Rais wa JMT; kuna haja ya kufanya maboresho kwenye uongozi wa TFF.

TFF mna homework, mnatakiwa kutengeneza mfumo imara kwa wazawa na kuhakikisha mikataba yao ina clause ya kuwaweka huru au kufanya amendement ya posho zao kulingana na kiwango chake cha sasa na anacho Offer kwenye timu badala ya kufanya kazi kama robot eti nasimamia misingi ya mkataba.........

Mkataba aliandika Mungu huo!

Nchi za kiarabu wanatoa vipaji vingi na wana good national team kwa sababu ya uzawa; there is a very clear line kati ya wazawa na wageni na linapokuja suala la uzawa ..... tunaweka utaifa mbele na hii sera ndio ina build mpira kwenye nchi za wenzetu.

Kipaji cha Fei unakiweka nje almost 6 months eti nasimamia misingi ya taasisi..... Absurd Kabisa.....
unakosaje consensus na mchezaji mzawa...huku unamlipa Morrison over 15M, Aziz Ki Over 20M .........Fei 4M eti alisaini mwenyewe , seriously !
what do they really offer to the club? as compared to Fei ?

Fei ananidhamu, kipaji, sio mlevi , ana fundishika and the most important, he has great future in his career path ;

kuna haja ya kuchunguzana uraia.

La mwisho lakini ambalo sio la mwisho Kabisa, TFF tunawapa ONYO na hii ni RISALA kwenu kaeni chini mtengeneze robust system ambayo itapromote vipaji vya ndani pamoja na kurahisisha ammendement kwa wachezaji wa ndani ambao viwango vimekuwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba ya wachezaji wa ndani sio kandamiza just because wachezaji wetu hawana exposure na wqsimamizi.

Maamuzi ya Fei SALUM , yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period

Megalodon
kama huna akili huna tu,kama hujui mambo ya futiboli nyamaza
 
14146be4ee9e502c4e7186aadb19668f.jpg
 
Feisal ni mchezaji wa kawaida sana..msiyafanye mambo yawe makubwa sana.

Mchezaji amesajiliwa bila vipimo..hili nalo mbona hujalisemea kama jipu lingine?

TFF wajitahidi kuhamasisha upimwaji wa wachezaji, mafunzo na ujenzi wa academies za mpira kwa wachezaji wa ndani ili wakue katika misingi bora ya mpira, elimu ya mpira, na mikakati (technical and tactical) na mengineyo ya kiufundi ya mpira.

Hivyo ndivyo vinavyopandisha thamani ya mchezaji..na sio maneno ya midomoni.

Hio thamani aliyopewa ni kubwa sana kuliko uwezo wake..tusiwe wanafki.

Mtu ana concentration ndogo sana uwanjani..sometimes anazubaaga mno kwenye game...na hivi hajacheza siku nyingi..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Ile Club imekaa ki cheki bob sana

Hersi inaonekana ni mtu fulani anayependa sana umwinyi ndio maana wale minions wanakesha kumtukuza.

Feisal amefanya kila jitihada kuhakikisha anaondoka pale lakini wao wametia ugumu, TFF nayo haikuwa msaada zaidi ilionekana ndio mkandamizaji wa haki.

Yanga moja ya madai yao kuonesha Feisali hakufata utaratibu ilikuwa ni pamoja na kusema alivunja mkataba bila kuhusisha TFF.

TFF imeamua kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga, haya basi dogo ametii hukumu ya mahakama amekubali kuwa ni mchezaji wa Yanga.

Sasa kwasababu ni mchezaji wa Yanga, anaamua kuleta barua TFF kuvunja mkataba. TFF inakuja na majibu kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga. How?
 
Nitajie mchezaji asiye wakawaida tumjue huwenda anachezea melini
 
TFF walikuwa wanajing'ata ng'ata tu, kuhusu Feisal hadi Rais kuingilia kati, utadhani si chombo chenye mamlaka ya mpira, ilhali alishaweka wazi kuwa hayupo tayari kucheza Yanga anataka kuondoka.
 
Ile Club imekaa ki cheki bob sana

Hersi inaonekana ni mtu fulani anayependa sana umwinyi ndio maana wale minions wanakesha kumtukuza.

Feisal amefanya kila jitihada kuhakikisha anaondoka pale lakini wao wametia ugumu, TFF nayo haikuwa msaada zaidi ilionekana ndio mkandamizaji wa haki.

Yanga moja ya madai yao kuonesha Feisali hakufata utaratibu ilikuwa ni pamoja na kusema alivunja mkataba bila kuhusisha TFF.

TFF imeamua kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga, haya basi dogo ametii hukumu ya mahakama amekubali kuwa ni mchezaji wa Yanga.

Sasa kwasababu ni mchezaji wa Yanga, anaamua kuleta barua TFF kuvunja mkataba. TFF inakuja na majibu kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga. How?
Ingependeza ungeongezwa kwenye jopo la mawakili wa Fei CAS ukashusha nondo kama hizi kwa hakika angeshinda kongole sana .
 
Huna akili wewe ni mbumbumbu ,mkataba ni makubaliano naona ya pande mbili hashikiwi mtu bunduki. Mbona ulaya Mane alikuwa anazidiwa mshahara na wachezaji wengi wa kawaida pale Liverpool ?
Kuhusu mshahara hatuwezi kulisema sana kwasababu hata mchezaji mwenyewe ana kiri kuwa alikuwa ana ridhika.

Na sababu ya yeye kusepa haikuwa mshahara

Ila mimi na wewe ndio tuangalie, hivi kweli hata kama alisaini mwenyewe ina maana kile anachokupa uwanjani kinathamani sawa na unachomlipa?

Value ya mchezaji ni uwezo, kutopata majeraha ya muda mrefu, na umri mdogo hivi vitu vyote Feisali anavyo.

Hao wengine wanaochukua mara tano ya mshahara wake je wamefikia hivyo vigezo?
 
Feisal ni mchezaji wa kawaida sana..msiyafanye mambo yawe makubwa sana.

Mchezaji amesajiliwa bila vipimo..hili nalo mbona hujalisemea kama jipu lingine?

TFF wajitahidi kuhamasisha upimwaji wa wachezaji, mafunzo na ujenzi wa academies za mpira kwa wachezaji wa ndani ili wakue katika misingi bora ya mpira, elimu ya mpira, na mikakati (technical and tactical) na mengineyo ya kiufundi ya mpira.

Hivyo ndivyo vinavyopandisha thamani ya mchezaji..na sio maneno ya midomoni.

Hio thamani aliyopewa ni kubwa sana kuliko uwezo wake..tusiwe wanafki.

Mtu ana concentration ndogo sana uwanjani..sometimes anazubaaga mno kwenye game...na hivi hajacheza siku nyingi..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app

Fei sio mchezaji wa kawaida Ana kipaji Na mpira wake ni natural born . Uwezo wa Fei hauzungumzwi mdomo bali amedhihirisha ..,,,, labda Wewe sio mtizamaji mzuri wa ligi ya ndani;Ukitaka kujua uwezo wa Fei...... kamuulize Prof Nabi na moja ya kitu kimemuumiza...... ni kumkosa Fei .

Mengine naungana Na wewe, vipimo Na mafunzo wachezaji wafanyiwe vipimo lakini hili halina uhusiano Na Fei
 
Ile Club imekaa ki cheki bob sana

Hersi inaonekana ni mtu fulani anayependa sana umwinyi ndio maana wale minions wanakesha kumtukuza.

Feisal amefanya kila jitihada kuhakikisha anaondoka pale lakini wao wametia ugumu, TFF nayo haikuwa msaada zaidi ilionekana ndio mkandamizaji wa haki.

Yanga moja ya madai yao kuonesha Feisali hakufata utaratibu ilikuwa ni pamoja na kusema alivunja mkataba bila kuhusisha TFF.

TFF imeamua kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga, haya basi dogo ametii hukumu ya mahakama amekubali kuwa ni mchezaji wa Yanga.

Sasa kwasababu ni mchezaji wa Yanga, anaamua kuleta barua TFF kuvunja mkataba. TFF inakuja na majibu kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga. How?

Yaani TFF ni msiba, Na Nina wqsiwasi sana kama tunawatu sahihi na wenye uwezo pale . Ishu ndogo kama ya Fei wameshindwa Ki handle ni dhahiri kuwa hii TFF haina tija Na mabadiliko pale hayaepukiki
 
Back
Top Bottom