Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.
Fei alikuwa ana offer more than Aziz Ki au huyo mabangi Morrison ambaye hata game hachezi consistent huku akiwapiga pesa Simba na Yanga kijinga sana. Kisinda hopeless Kabisa lakini nae anakula salary zaidi Fei.
kama Rais wa Klabu na kama angekuwa ni well brained for the country interest; he should have seen kuwa kuna haja ya kumpromote Salum na kufanya amendement kwenye mkataba kwa kuwa kiwango chake kimepanda regardless ya life span ya mkataba.
Hii ingeonesha uzalendo na ku promote vipaji vya ndani hasa ukizingatia wengi wanakuwa watoto na hawana exposure wala wasimamizi. They need to learn na kuwa guided.
Kukosa exposure na mental strength kwa hawa wachezaji wa ndani wenye uwezo isiwe sababu ya ku take advantage.
Ni Ujambazi na Umafia wa hali ya juu uliyofanywa na Rais wa Yanga dhidi ya kipaji cha ndani, na hakika ungeendelea kujitia much know, nadhani mogadishu ulikuwa unaichungulia in a very serious note.
Ifike mahali TFF wachaguliwe viongozi wenye THINKING, tumejaza mautumbo utumbo na mabogus hapo TFF, ni lazima TFF itafute namna bora ya kupromote na ku protect mikataba na Maslahi ya wachezaji wa ndani kwa kuwa huu ndjo msingi wa kuwa na timu bora ya Taifa.
Ni aibu kwa TFF na Yanga suala kama la Fei kuamuliwa na Rais wa JMT, kuna haja ya kufanya maboresho kwenye uongozi wa TFF.
TFF mna homework, mnatakiwa kutengeneza mfumo imara kwa wazawa na kuhakikisha mikataba yao ina clause ya kuwaweka huru au kufanya amendement ya posho zao kulingana na kiwango chake cha sasa na anacho Offer kwenye timu badala ya kufanya kazi kama robot eti nasimamia misingi ya mkataba.
Mkataba aliandika Mungu huo!
Nchi za kiarabu wanatoa vipaji vingi na wana good National Team kwa sababu ya uzawa, there is a very clear line kati ya wazawa na wageni na linapokuja suala la uzawa. Tunaweka utaifa mbele na hii sera ndio ina build mpira kwenye nchi za wenzetu.
Kipaji cha Fei unakiweka nje almost 6 months eti nasimamia misingi ya taasisi. Absurd Kabisa, unakosaje consensus na mchezaji mzawa, huku unamlipa Morrison over 15M, Aziz Ki Over 20M, Fei 4M eti alisaini mwenyewe seriously?
What do they really offer to the club? as compared to Fei?
Fei ananidhamu, kipaji, sio mlevi , ana fundishika and the most important, he has great future in his career path.
La mwisho lakini ambalo sio la mwisho Kabisa, TFF tunawapa ONYO na hii ni RISALA kwenu kaeni chini mtengeneze robust system ambayo itapromote vipaji vya ndani pamoja na kurahisisha ammendement kwa wachezaji wa ndani ambao viwango vimekuwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba ya wachezaji wa ndani sio kandamiza just because wachezaji wetu hawana exposure na wasimamizi.
Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period
Megalodon.