Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC


Raisi wa Yanga ni Muhuni Na ameshindwa kuonesha skills za uongozi badala yake Ametaka kushindana Na inaonekana kuna timu ya chawa Na wazee wa ndjo Mzee ndio wanamtia ujinga Na kumpa ushauri mmbovu
 

I agree with you ; yaani kama kiongozi tusitake advantage kwa sababu ameridhika
Kwanza hii ni hatari kwa sababu mchezaji ni rahisi kushawishika kwa ofa kubwa endapo watu wanaomuhitaji watamtaka

Ni lazima ufanye balance na ratio Mara kwa mara kulingana na mtu anacho Offer ..... vinginevyo ni urobot
 
We ni nani paka uwe na imani na akili ya raisi wa klabu kubwa nchini Tanzania ya Yanga?
Raisi ambaye Klabu yake imebeba makombe yote yanayoshindaniwa nchinini Tanzania kwa miaka miwili mfululizo na imefika fainali ya Cafcc.

Wewe unajulikana ni shabiki wa mbumbumbu. Endelea kuielewa akili ya mwenyekiti wako ndugu mangungu, Haya ya Yanga hayakuhusu
 

Klabu Kubwa ? ipi?


Ipi ; Klabu kubwa ungetolewa Preliminaries kwenye Champion ligi. Umeenda shirikisho umekutana na hopeless team ........ timu hazina hata fedha ya kusafiria, nyingine zinashuka daraja....... let the dead bury the dead
Tunarudi championship: utuoneshe ukubwa wako
 
Huna akili wewe ni mbumbumbu ,mkataba ni makubaliano naona ya pande mbili hashikiwi mtu bunduki. Mbona ulaya Mane alikuwa anazidiwa mshahara na wachezaji wengi wa kawaida pale Liverpool ?
Kumbe wewe ni utopolo lia lia halafu unajifanyaga humu we ni shabiki wa azam kweli mwiko huko nyuma haufichiki
 
Toa huo mwiko huko nyuma ufanye digestion nzuri ya hii thread upate kumjibu vizuri mleta mada
 
Kumbe wewe ni utopolo lia lia halafu unajifanyaga humu we ni shabiki wa azam kweli mwiko huko nyuma haufichiki
Wapi nimesema mimi utopolo ? mimi sina ushabiki wa mhemko na wakidunduka japo Azam lialia lakini kwenye ukweli na soka safi lazima niseme ?
 
Mbona Sawadogo anachukua mpunga mrefu kuliko mzamiru na hupigi kelele ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu msomali anawatesa Sana watu. Engineer shikilia hapohapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hv hela za kuwalipa unamchangia?
 
Mbona hersi alishapata somo...naona bacca na job mikataba yao imeboreshwa
 
Nimejaribu kukufatilia kuona kama una hoja nimekuja kundua kuwa ni ushabiki ndio unaokusumbua. Timu inayoshuka daraja imewezaje kumtoa timu ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya Misri? Au ligi ya Misri kwasasa haina ubora? Timu ipi iliyoshindwa kusafiri kipondi cha mechi za hatua za makundi?
 
Makolo walitaka choma uwanja kwa kuwanga hadharani michuano hiyo hiyo akaishia robo

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Feisal alishaapa kuwa hataki kurudi tena Yanga, je unataka Hersi aende kwa Feisal akambeleze? Unataka Hersi ndio akajishushe kwa Feisall kana kwamba hakuna wachezaji wengine?

Mkataba ambao Feisali alikuwa anaangaika kuuvunja, je alisainiwa na nani? Alilazimishwa kukubaliana na hiko kiwango cha mshahara?

TFF unaonaowalau wewe ulipaswa kutaja na vifungu vya sheria ambavyo TFF walishindwa kuvitafsiri au kushindwa kuvifuata. Ukiishia tu kulaumu pasipo kutaja makosa ya kisheria basi haijuii kuhusu sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…