Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

Hauwezi ukakimbia negotiations za mikataba kama unataka uzungumzie maswala ya remuneration.

Never!!

Umekuja na hoja zako za kitoto eti ni kwanini Aziz,Mayele na Morrison wana grab high payments kuliko Fei wakati Fei ana workrate uwanjani kulikoni hao wengine..

Waungwana tumekujibu kua Workrate ya uwanjani hai determine high payments ya player Ila hua ni kichocheo kwenye negotiations ya mikataba,ndio maana Fei alianza na 1.5M then akapewa 4M.

Ndio maana mtu mwenye high powerful of negotiations kama Yikpe Gramien alikataa majaribio yanga.

Halafu kuhusu swala la uwanja jangwani, unatakiwa uelewa kua sheria na taratibu za nchi zimekuwa zikibadilika(amendments) regularly..!!
 

Sidhani Kama tupo Kwenye Line moja ya hoja ya msingi.

Nashauri ufanye re-read kwa dhumuni la kuelewa na sio kwa dhumuni la kujibu
 
Wewe jamaa ni KILAZA mnoo hujui lolote kwenye mambo ya mpira
 
Kiongozi wa mambumbumbu wengi walio humu jamii forum sijawahi kuona ukiandika vitu vya maana tangu nakufahamu wewe kiumbe
 
TFF walikuwa wanajing'ata ng'ata tu, kuhusu Feisal hadi Rais kuingilia kati, utadhani si chombo chenye mamlaka ya mpira, ilhali alishaweka wazi kuwa hayupo tayari kucheza Yanga anataka kuondoka.
Rais kaingilia kati sababu ya utaifa wa FEISAL nani hamjui Samia when comes to UZANZIBAR?
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Aliyemfikusha Feisal hapo alipo ni professor Nabi nje ya hapo ni mchezaji wa Kawaida sana
 
Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period
Kabisa.... Feisal kaonyesha mfano mzuri kwa namna alivyopigania hatma yake......

kila laheri kwa huyu 'shujaa' huko Azam FC.
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Unajua maana ya expatriate? Ulishaona wapi expatriate analipwa sawa na local?
 
Mimi ni Mwanayanga mwenzio. Tuache kuponda mchezaji kwa kuwa hatunaye tena. Feisal ni mchezaji mzuri na ametuokoa kwenye games nyingi sana. Tumwache aende.
 
Hebu nitajie mchezaji wa Hispania aliyekuwa analipwa mshahara sawa Messi?, Au wao hawana wachezaji wa ndani?.
 
Uzalendo Tena unafata Nini kwenye uhalisia kwahyo Tena vilabu vyetu vikifanya sajiri za wazawa wawajaze tu manoti atakama viwango vyao vibovu aiwezekan hiyoo
 
Uzalendo Tena unafata Nini kwenye uhalisia kwahyo Tena vilabu vyetu vikifanya sajiri za wazawa wawajaze tu manoti atakama viwango vyao vibovu aiwezekan hiyoo

Soma mada kwa lengo la kuelewa, na sio kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…