Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

Angekuwa smart angeenda kuomba kujenga Uwanja Jangwani. Sidhani kama amezungukwa Na watu sahihi
Kuna proposal la jangwani kabla yake with cost implications ya lile eneo
Huo u smart upo wapi!

Pia elewa Mada Na hoja za negotiations terms za contract
Hauwezi ukakimbia negotiations za mikataba kama unataka uzungumzie maswala ya remuneration.

Never!!

Umekuja na hoja zako za kitoto eti ni kwanini Aziz,Mayele na Morrison wana grab high payments kuliko Fei wakati Fei ana workrate uwanjani kulikoni hao wengine..

Waungwana tumekujibu kua Workrate ya uwanjani hai determine high payments ya player Ila hua ni kichocheo kwenye negotiations ya mikataba,ndio maana Fei alianza na 1.5M then akapewa 4M.

Ndio maana mtu mwenye high powerful of negotiations kama Yikpe Gramien alikataa majaribio yanga.

Halafu kuhusu swala la uwanja jangwani, unatakiwa uelewa kua sheria na taratibu za nchi zimekuwa zikibadilika(amendments) regularly..!!
 
Sidhani Kama tupo Kwenye Line moja ya hoja ya msingi.

Nashauri ufanye re-read kwa dhumuni la kuelewa na sio kwa dhumuni la kujibu
 
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.

Fei alikuwa ana offer more than Aziz Ki au huyo mabangi Morrison ambaye hata game hachezi consistent huku akiwapiga pesa Simba na Yanga kijinga sana. Kisinda hopeless Kabisa lakini nae anakula salary zaidi Fei.

kama Rais wa Klabu na kama angekuwa ni well brained for the country interest; he should have seen kuwa kuna haja ya kumpromote Salum na kufanya amendement kwenye mkataba kwa kuwa kiwango chake kimepanda regardless ya life span ya mkataba.

Hii ingeonesha uzalendo na ku promote vipaji vya ndani hasa ukizingatia wengi wanakuwa watoto na hawana exposure wala wasimamizi. They need to learn na kuwa guided.

Kukosa exposure na mental strength kwa hawa wachezaji wa ndani wenye uwezo isiwe sababu ya ku take advantage.

Ni Ujambazi na Umafia wa hali ya juu uliyofanywa na Rais wa Yanga dhidi ya kipaji cha ndani, na hakika ungeendelea kujitia much know, nadhani mogadishu ulikuwa unaichungulia in a very serious note.

Ifike mahali TFF wachaguliwe viongozi wenye THINKING, tumejaza mautumbo utumbo na mabogus hapo TFF, ni lazima TFF itafute namna bora ya kupromote na ku protect mikataba na Maslahi ya wachezaji wa ndani kwa kuwa huu ndjo msingi wa kuwa na timu bora ya Taifa.

Ni aibu kwa TFF na Yanga suala kama la Fei kuamuliwa na Rais wa JMT, kuna haja ya kufanya maboresho kwenye uongozi wa TFF.

TFF mna homework, mnatakiwa kutengeneza mfumo imara kwa wazawa na kuhakikisha mikataba yao ina clause ya kuwaweka huru au kufanya amendement ya posho zao kulingana na kiwango chake cha sasa na anacho Offer kwenye timu badala ya kufanya kazi kama robot eti nasimamia misingi ya mkataba.

Mkataba aliandika Mungu huo!

Nchi za kiarabu wanatoa vipaji vingi na wana good National Team kwa sababu ya uzawa, there is a very clear line kati ya wazawa na wageni na linapokuja suala la uzawa. Tunaweka utaifa mbele na hii sera ndio ina build mpira kwenye nchi za wenzetu.

Kipaji cha Fei unakiweka nje almost 6 months eti nasimamia misingi ya taasisi. Absurd Kabisa, unakosaje consensus na mchezaji mzawa, huku unamlipa Morrison over 15M, Aziz Ki Over 20M, Fei 4M eti alisaini mwenyewe seriously?

What do they really offer to the club? as compared to Fei?

Fei ananidhamu, kipaji, sio mlevi , ana fundishika and the most important, he has great future in his career path.

La mwisho lakini ambalo sio la mwisho Kabisa, TFF tunawapa ONYO na hii ni RISALA kwenu kaeni chini mtengeneze robust system ambayo itapromote vipaji vya ndani pamoja na kurahisisha ammendement kwa wachezaji wa ndani ambao viwango vimekuwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba ya wachezaji wa ndani sio kandamiza just because wachezaji wetu hawana exposure na wasimamizi.

Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period

Megalodon.
Wewe jamaa ni KILAZA mnoo hujui lolote kwenye mambo ya mpira
 
Ile Club imekaa ki cheki bob sana

Hersi inaonekana ni mtu fulani anayependa sana umwinyi ndio maana wale minions wanakesha kumtukuza.

Feisal amefanya kila jitihada kuhakikisha anaondoka pale lakini wao wametia ugumu, TFF nayo haikuwa msaada zaidi ilionekana ndio mkandamizaji wa haki.

Yanga moja ya madai yao kuonesha Feisali hakufata utaratibu ilikuwa ni pamoja na kusema alivunja mkataba bila kuhusisha TFF.

TFF imeamua kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga, haya basi dogo ametii hukumu ya mahakama amekubali kuwa ni mchezaji wa Yanga.

Sasa kwasababu ni mchezaji wa Yanga, anaamua kuleta barua TFF kuvunja mkataba. TFF inakuja na majibu kuwa Feisali ni mchezaji wa Yanga. How?
Kiongozi wa mambumbumbu wengi walio humu jamii forum sijawahi kuona ukiandika vitu vya maana tangu nakufahamu wewe kiumbe
 
TFF walikuwa wanajing'ata ng'ata tu, kuhusu Feisal hadi Rais kuingilia kati, utadhani si chombo chenye mamlaka ya mpira, ilhali alishaweka wazi kuwa hayupo tayari kucheza Yanga anataka kuondoka.
Rais kaingilia kati sababu ya utaifa wa FEISAL nani hamjui Samia when comes to UZANZIBAR?
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Fei sio mchezaji wa kawaida Ana kipaji Na mpira wake ni natural born . Uwezo wa Fei hauzungumzwi mdomo bali amedhihirisha ..,,,, labda Wewe sio mtizamaji mzuri wa ligi ya ndani;Ukitaka kujua uwezo wa Fei...... kamuulize Prof Nabi na moja ya kitu kimemuumiza...... ni kumkosa Fei .

Mengine naungana Na wewe, vipimo Na mafunzo wachezaji wafanyiwe vipimo lakini hili halina uhusiano Na Fei
Aliyemfikusha Feisal hapo alipo ni professor Nabi nje ya hapo ni mchezaji wa Kawaida sana
 
Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period
Kabisa.... Feisal kaonyesha mfano mzuri kwa namna alivyopigania hatma yake......

kila laheri kwa huyu 'shujaa' huko Azam FC.
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.

Fei alikuwa ana offer more than Aziz Ki au huyo mabangi Morrison ambaye hata game hachezi consistent huku akiwapiga pesa Simba na Yanga kijinga sana. Kisinda hopeless Kabisa lakini nae anakula salary zaidi Fei.

kama Rais wa Klabu na kama angekuwa ni well brained for the country interest; he should have seen kuwa kuna haja ya kumpromote Salum na kufanya amendement kwenye mkataba kwa kuwa kiwango chake kimepanda regardless ya life span ya mkataba.

Hii ingeonesha uzalendo na ku promote vipaji vya ndani hasa ukizingatia wengi wanakuwa watoto na hawana exposure wala wasimamizi. They need to learn na kuwa guided.

Kukosa exposure na mental strength kwa hawa wachezaji wa ndani wenye uwezo isiwe sababu ya ku take advantage.

Ni Ujambazi na Umafia wa hali ya juu uliyofanywa na Rais wa Yanga dhidi ya kipaji cha ndani, na hakika ungeendelea kujitia much know, nadhani mogadishu ulikuwa unaichungulia in a very serious note.

Ifike mahali TFF wachaguliwe viongozi wenye THINKING, tumejaza mautumbo utumbo na mabogus hapo TFF, ni lazima TFF itafute namna bora ya kupromote na ku protect mikataba na Maslahi ya wachezaji wa ndani kwa kuwa huu ndjo msingi wa kuwa na timu bora ya Taifa.

Ni aibu kwa TFF na Yanga suala kama la Fei kuamuliwa na Rais wa JMT, kuna haja ya kufanya maboresho kwenye uongozi wa TFF.

TFF mna homework, mnatakiwa kutengeneza mfumo imara kwa wazawa na kuhakikisha mikataba yao ina clause ya kuwaweka huru au kufanya amendement ya posho zao kulingana na kiwango chake cha sasa na anacho Offer kwenye timu badala ya kufanya kazi kama robot eti nasimamia misingi ya mkataba.

Mkataba aliandika Mungu huo!

Nchi za kiarabu wanatoa vipaji vingi na wana good National Team kwa sababu ya uzawa, there is a very clear line kati ya wazawa na wageni na linapokuja suala la uzawa. Tunaweka utaifa mbele na hii sera ndio ina build mpira kwenye nchi za wenzetu.

Kipaji cha Fei unakiweka nje almost 6 months eti nasimamia misingi ya taasisi. Absurd Kabisa, unakosaje consensus na mchezaji mzawa, huku unamlipa Morrison over 15M, Aziz Ki Over 20M, Fei 4M eti alisaini mwenyewe seriously?

What do they really offer to the club? as compared to Fei?

Fei ananidhamu, kipaji, sio mlevi , ana fundishika and the most important, he has great future in his career path.

La mwisho lakini ambalo sio la mwisho Kabisa, TFF tunawapa ONYO na hii ni RISALA kwenu kaeni chini mtengeneze robust system ambayo itapromote vipaji vya ndani pamoja na kurahisisha ammendement kwa wachezaji wa ndani ambao viwango vimekuwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba ya wachezaji wa ndani sio kandamiza just because wachezaji wetu hawana exposure na wasimamizi.

Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period

Megalodon.
Unajua maana ya expatriate? Ulishaona wapi expatriate analipwa sawa na local?
 
Feisal ni mchezaji wa kawaida sana..msiyafanye mambo yawe makubwa sana.

Mchezaji amesajiliwa bila vipimo..hili nalo mbona hujalisemea kama jipu lingine?

TFF wajitahidi kuhamasisha upimwaji wa wachezaji, mafunzo na ujenzi wa academies za mpira kwa wachezaji wa ndani ili wakue katika misingi bora ya mpira, elimu ya mpira, na mikakati (technical and tactical) na mengineyo ya kiufundi ya mpira.

Hivyo ndivyo vinavyopandisha thamani ya mchezaji..na sio maneno ya midomoni.

Hio thamani aliyopewa ni kubwa sana kuliko uwezo wake..tusiwe wanafki.

Mtu ana concentration ndogo sana uwanjani..sometimes anazubaaga mno kwenye game...na hivi hajacheza siku nyingi..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Mimi ni Mwanayanga mwenzio. Tuache kuponda mchezaji kwa kuwa hatunaye tena. Feisal ni mchezaji mzuri na ametuokoa kwenye games nyingi sana. Tumwache aende.
 
Hii ndio hoja ya msingi; read between lines utaelewa

Lack of exposure na utoto wao hasa kwa wachezaji wazawa isiwe ni sehemu ya nyie ku take advantage. Lazima kuwa Na uwiano sahihi wa maslahi bila ya kujali yeye anatamani nini . Kufanya hivo ni ku prompte wachezaji wa ndan Na kuwapa hari

Tatizo Lenu watizedi akili ndogo hamuelewi
Hebu nitajie mchezaji wa Hispania aliyekuwa analipwa mshahara sawa Messi?, Au wao hawana wachezaji wa ndani?.
 
Hayupo sahihi Na sio mzalendo

Kama Rais , anatakiwa kufanya review Na amendement kwa wachezaji wanaoonesha uwezo
Kama asipofanya hivi basi ajue wachezaji wa Yanga wote watabomolewa maana itakuwa ni rahisi sana kushawishika. Mchezaji analipwa mil 4 , Na anakiwango...,, watu wa nje wanamwambia tunakupa 12M , utakuwa ni kichaa ukikataa

So lazima ajifunze ku balance mishahara based na kiwango
Uzalendo Tena unafata Nini kwenye uhalisia kwahyo Tena vilabu vyetu vikifanya sajiri za wazawa wawajaze tu manoti atakama viwango vyao vibovu aiwezekan hiyoo
 
Soma mada kwa lengo la kuelewa, na sio kujibu
 
Back
Top Bottom