'sina imani na jaji'-dr kafumu

'sina imani na jaji'-dr kafumu

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,204
Mbunge wa Igunga Dr Kafumu ambaye anawakilishwa na wakili Kanyama amepeleka barua ya kutokua na imani na jaji anaeiendesha kesi hiyo,mbunge huyo amepeleka barua yake kwa kulalamika kuwa jaji Marry anayeiskiliza hiyo kesi ni mkali sana hivyoangeomba abadilishwe,pia anasema jaji amegeuka wakili kwani yeye ndo anawahoji mashahidi wake,amesema kuwa mashahidi wake wanahofia kutoa ushahidi,
hata hivyo jaji marry amepinga madai hayo na kusema hayana msini na kesi itaendelea tarehe 21 may kama kawaida.
Sosi;rfa matukio
 
Sosi;rfa matukio .......
 
Ushauri wa bure kwa DR Kafumu - Jaribu lile jopo 'lililopinga Mgombea binafsi' Tanzania
 
Back
Top Bottom