Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Una uhakika gani ni mwanajeshi?Kapteni wa Jeshi mstaafu anatafuta "followers" eti?
Endeleeni kukaza mafuvu, mjeda wa enzi za mchonga sio sawa na wavaa milegezo walioingia jeshini kwa vimemo ati!
Maana tunaweza tukachukulia serious maneno yake, kusema yeye ni mwanajeshi wa Nato kumbe jamaa akawa na mental health problem.Jamaa kichwa kimevurugwa, hasira, confusion, desparation..
Mtu wa aina hii anaweza kufanya chochote cha kipuuzi.
Ni hatari.
Jamaa kwa sasa anajiona kama Arnold Schwarzenegger wa kwenye movie ya Komando.Maana tunaweza tukachukulia serious maneno yake, kusema yeye ni mwanajeshi wa Nato kumbe jamaa akawa na mental health problem.
Hii hutokea, mtu anaweza akajiona hata kuwa yeye ni nabii au rais wa nchi kabisa.
Jamaa siyo attention seeker. Mwamba anapitia maumivu makali. Piga picha tu ndugu yako. Damu nzito wewe.Jamaa sina imani naye , nashawishika kumuona kama attention seeker .
Na asipofanya kweli, hakuna Mtanzania yeyote atamsikiliza teeena.
Maneno mengi utendaji sifuri.
Nikijaribu kuunga dots tangu aliposema anajua Polepole alipo kwa sababu ana microchip mwilini mwake ila cha ajabu kadri siku zinavyozidi kwenda maelezo yake yanakinzana yenyewe kwa yenyewe.
Ngoja tuone itakavyokuwa.
Jamaa kwa sasa anajiona kama Arnold Schwarzenegger wa kwenye movie ya Komando.
Anasubiri kwenda kumkomboa binti yake...🤣🤣
Ngoja tuone picha litakavyoisha.
Nyumbu mafii yako?Pale manyumbu yanapomtilia shaka nyumbu mwenzao.Wengine akili zinawarudia na kupotea muda mfupi baadaye
Mshenzi sana ww🤣🤣🤣Pale manyumbu yanapomtilia shaka nyumbu mwenzao.Wengine akili zinawarudia na kupotea muda mfupi baadaye