Sina imani sana na Augustino Polepole, nashawishika kumuona kama attention seeker

Sina imani sana na Augustino Polepole, nashawishika kumuona kama attention seeker

Maana tunaweza tukachukulia serious maneno yake, kusema yeye ni mwanajeshi wa Nato kumbe jamaa akawa na mental health problem.

Hii hutokea, mtu anaweza akajiona hata kuwa yeye ni nabii au rais wa nchi kabisa.
😹😹😹😹😹😹 Nimecheka mpk machozi!!

Acha tuone kwani bado masaa machache..!!
 
Si alisema Polepole ana chip mwilini?Sasa mbona hasemi alipo?Nyumbu katika ubora wao kuamini kila kitu.Kuwa desperate ni hali ngumu sana.
 
Jamaa kichwa kimevurugwa, hasira, confusion, desparation..

Mtu wa aina hii anaweza kufanya chochote cha kipuuzi.

Ni hatari.

Nina imani 100% jamaa atakuja kufanya jambo la ajabu ,amesisitiza wakiingia kwenye 18 anakula kichwa ,tumpe muda ,saa 24 zimeshaisha jana sasa kwa huku mbele tutegemee tukio lolote!

Hao waliokuwa targeted na wenyewe hawakai kindezi na pia Augustino na yeye hawezi pia kujitokeza kindezi ,lazima na yeye apange mission ya kuweza kutekeleza "Ulaji vichwa vya wahuni" ,tumpe muda maana kashatoa tahadhari mapema kwamba wasije kumlaumu.
 
Back
Top Bottom